Tunduru ni moja ya wilaya ambayo inapatikana katika mkoa wa Ruvuma kusini mwa Tanzania, asili ya wakazi wa Tunduru ni Wayao ambao wanasadikika wanatokea Msumbuji, katikati ya miaka ya 80 kulikuwa na mzee mmoja ambaye alikuwa anafahamika Mzee ACHIMBALI, Mzee huyo alikua anaishi katika kijiji cha...