ifunda

Ifunda is an administrative ward in the Iringa Rural district of the Iringa Region of Tanzania. In 2016 the Tanzania National Bureau of Statistics report there were 12,765 people in the ward, from 12,199 in 2012.: 89 : 107 

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Asajile Mwanjala amechukuliwa na Afande Ally polisi wa kituo cha Ifunda

    Asajile Mwanjala amechukuliwa usiku wa jana Kijiji cha Ihemi kata ya Mgama, Nimeongea nae amechukuliwa na Afande Ally polisi wa kituo cha ifunda na Afande Razaro Polisi wa Iringa mjini. Fikeni hapo kituoni Ifunda haraka.
  2. Waliosoma shule za Ufundi (Technical schools) Tukutane hapa

    Habari za kazi wana Jf, Tunajua kuna level nne za shule (secondary/Ordinal level) hapa kwetu Tanzania 1. Special (Vipaji maalumu) 2. Technical (Ufundi) 3. Boarding (Bweni kawaida) 4. Teule (shule za halmashauri ) 5. Day (kata) wale waliosoma shule za ufundi tujadili ubora na madhaifu...
  3. Kalenga: Bendera zote za Chadema kata ya Ifunda zang'olewa ili kumpisha Chongolo

    Hii ndio Taarifa mpya iliyopatikana leo kutoka huko Iringa kwenye Jimbo la Kalenga , kwamba kwa vile Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo anafanya ziara Kwenye Jimbo la Kalenga basi ikaamriwa bendera zote za Chadema zing'olewe usiku wa manane ili Mtukufu Chongolo asizione. Bado haijafahamika kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…