iendane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Matatizo ya nchi hii, Kumlaumu Nyerere ni mwendelezo wa uoga wa kutochukua hatua ya kubadili Katiba ili iendane na mahitaji ya sasa

    Sensa ya watu iliyofanywa na serikali hivi karibuni, ilibainisha kuwa, nchi yetu kwa sasa ina idadi ya watu zaidi ya milioni 60 Tuna zaidi ya miaka 20 sasa tangu baba wa Taifa letu Tanzania Mwl JK nyerere atutoke Duniani Mwalimu Nyerere, amekuwa Rais wa kwanza katika nchi yetu huku kukiwepo...
  2. Mama Samia badili Sheria ya Makosa ya Jinai ( Penal Code), iendane na Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971. Utawin mioyo ya 99,% ya watanzania.

    Sheria mama ya Tanzania ( Katiba) inasema, umri wa utu Uzima ni kuanzia miaka 18. Sheria ya Makosa ya jinai ya Tanzania ( Penal Code), inatambua kama kosa la jinai, tendo la ngono Kati ya mwanaume mwenye umri wa mialka 18+ na msichana mwenye umri wa chini ya miaka 18,hata kama msichana huyo...
  3. S

    Kampeni ya No Reform No Elections iendane na kuyasihi mataifa yaliyoendela kuwawekea vikwazo viongozi wa Tanzania kwa ukiukwaji wa haki za wapinzani

    Mimi nadhani ni jambo la msingi kwa Chadema kuanza kukutana na wawakilishi wa mataifa ya kigeni, hususa za magharibu, na kuwatumia kuwashnikza viongozi wa Tanzania kufanya mabadiliko ya taratibu za uchaguzi na kuacha ukiukwaji wa haki za msingi za wanasiasa wa upinzani nchini. Kama ambavyo...
  4. SoC04 Serikali iendane na mabadiliko ya dunia kwenye teknolojia

    1. Kwanza kabisa Mbinu au maono ambayo yatatumia zaidi ya miaka mitatu na kuendelea Ni Kuhakikisha SERIKALI inawarahisishia wanainchi Kwenye Upatikanaji wa maji na Ulipaji wake kupitia njia ya kisasa kuendana na kasi ya Dunia, Kulipia Maji kwa mita ambazo utalipia kabra mwananchi hajatumia Maji...
  5. Mitaala mipya ya Elimu iendane na mitaala maslahi ya Walimu

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu, Utekelezaji wa mitaala mipya uendane na upitiaji upya wa mitaala masilahi ya walimu, mfano; 1. Mpaka miaka ya Sasa mwalimu wenye Masters hawatambuliki kimuundo Wala kimaslahi, wakati nchi za wenzetu elimu kubwa na performance nzuri kimasomo ndo sifa ya...
  6. Q

    CCM wanabadilisha Katiba yao ya 1977 iendane na wakati. Kwanini hawataki tubadili Katiba ya Tanzania ya 1977?

    #TAARIFA: Mkutano Mkuu Maalum utakaokuwa na agenda maalum ya marekebisho ya katiba ya CCM ya Mwaka 1977 toleo la mwaka 2020 utafanyika Jijini Dodoma Aprili 01, 2022. Wajumbe wote wa mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa mnakaribishwa. #TukutaneAprilMosi #MkutanoMkuuMaalumDodoma
  7. Kampeni ya Usafi wa Dar iendane na hili

    Niendelee kumpongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar kwa kusimamia maamuzi mbalimbali ya kuhakikisha Dar inasimama katika usafi na mpangilio wa biashara katika maeneo mengi. Katika hili kuna haja ya kuhakikisha Dar inakuwa katika hali ya usafi na mpangilio wa biashara katika hili kuna haja ya kusimamia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…