The Information Affairs Authority (IAA) is Bahrain's ministry of information that was formed in July 2010. The president of IAA is appointed directly by the King of Bahrain and has the rank of a minister in the Bahrain government. From July 2010 to 2012, Fawaz bin Mohammed bin Khalifa Al Khalifa was President of IAA. In 2012, he relinquished the position to take up an appointment as Minister of State for Communication, and Sameera Rajab was appointed in his place.
Naomba kutumia jukwaa hili kueleza changamoto kubwa zinazowakumba wanafunzi wa ngazi ya Masters katika Chuo cha IAA. Kwa masikitiko makubwa, namna wanafunzi wa Masters wanavyotendewa haiakisi hadhi ya elimu ya juu, wala misingi ya haki na taaluma.
1. Matokeo (SAP, SUPP na Appeals)
Kumekuwa na...
Hellw jf,matokeo yetu chuo cha IAA hayatumwi nacte ili tupate AVN.Tumefuatlia lakn tunajibiwa kwa ukali sana,asilimia nyingi yametumwa mwisho ya technician certificate lakin bado pending na tunatak kuomba mkopo.Admission officer ni mkali na hatoi ushirikiano
Shilingi Bilioni 18, zimetolewa kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET), ili kufanikisha ujenzi Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kampasi ya Songea.
Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mheshimiwa Kanali Ahmed Abbas wakati wa hafla ya makabidhiano ya eneo la ujenzi wa...
Habari wanaJF, kama naomba kufahamu kwa upande wa dar ni wapi panafanyikia huo usahili wa MCHUJO(WRITTEN INTERVIEW) katika taasisi tofauttofaut zilizotolewa juzi kama vike AICC, TBC, IAA, ,TPSC, VETA, SUA. maana wao wameandika "VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR
ES SALAAM, DODOMA, MBEYA,
MWANZA NA...
am writing to formally express my complaint regarding the delay in receiving my Bachelor of Computer Science certificate, which I completed in 2023 at your institution. It has now been over one year and four months since I graduated, yet I have not been able to obtain my certificate. This delay...
Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamini Sedoyeka alisomewa mshtaka manne katika Baraza la Maadili kutokana na malalamiko manne ya kukiuka maadili ya Viongozi wa Umma ambapo ameyakana yote
Kikao cha Baraza la Maadili liliketi chini ya Mwenyekiti wa Baraza, Jaji Mstaafu Rose...