huwa unafanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa siku nyingine?

    Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa ajili ya siku nyingine au ukitoka kazini unaingia kazini tena huna muda wa kufanya vitu vingine kabisa Mimi huwa napumzika kidogo hata kama kuna shughuli nyingine ya kufanya siingii kuifanya moja kwa moja hasa zile nzito...
  2. JE WAJUA NI MUDA GANI UNAPASWA KUBADILI OIL FILTER YA GARI YAKO?

    Namna ya kufahamu Oil filter ya Gari yako Oil filters inapaswa kuwa replaced kila baada ya 6,000–8,000 km (ambapo kwa wengi ni 12 months), typically kila unapofanya oil change. Viashiria muhimu vinavyo ashiria oil filter yako kuwa mbovu : Pressure ndogo ya oil Engine kukosa nguvu...
  3. Huwa unafanya kitu/jambo gani kabla haujalala??

    Kwa upande wangu napenda kuangalia movie,naoga,kama mke wangu atahtaji huduma nitampa Kisha nalala,huu ndio utaratibu wangu wa Kila siku kabla ya kalala, Mdau,utaratibu wako ni upi before haujalala???
  4. Huwa unafanya nini kupunguza au kumaliza hasira?

    Kwema wakuu. Hasira ni miongoni mwa hisia tunazopatwa nazo wanadamu. Kitu gani huwa unafanya ili kupunguza au kuondoa kabisa hasira
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…