Habari wakuu, nianze kwa kuwapa pole kwa janga la kariakoo ni janga zito sana Mungu awatie nguvu wahanga wote katika kipindi hiki kigumu.
Nirudi kwenye mada, wakuu siku zinakwenda spidi sana nadhani nanyi mnalipitia hilo, kuna jambo nilipanga kufanya november nna utaratibu wa kuweka reminder...