Hello Wadau,
Naomba tusaidiane kupaza sauti kuhusu suala hili.
Leo nimefika Registration, Insolvency and Trusteeship Agency (RITA) kwa ajili ya kupata huduma. Nilifika ghorofa ya tatu, nikakutana na afisa mmoja wa RITA ambaye sikufanikiwa kupata jina lake. Nilimuuliza kuhusu huduma...