huduma za kibenki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtumishi 19

    Kuhusu huduma za kibenki

    Wakuu habari za mda huu. Hivi Benk zetu wameshindwa kabisa kubuni mfumo wa kutoa huduma kwa uharaka? Imagine leo nimeenda bank kwa ajili tu huduma za mkononi. Lakini unatumia almost masaa matatu kwa ajili ya huduma hii kweli?
  2. Melki Wamatukio

    Sintokaa nitumie huduma za kibenki tena. Rasmi narejea kwenye miamala ya simu

    Walichonifanyia eniembii kinatosha. Nilifungua account lao mwaka Jana November, nikawa naweka tu elfu mbili tatu kama saving, simalizi wiki, nanyofoa pesa zangu, mambo mengine yanaendelea Mwezi Feb mwaka huu nikaweka 85k, cha ajabu leo nimejaribu kutoa 80k wakaleta ujumbe wa insufficient...
  3. Kadodo1

    Biteko awataka wenye mabenki nchini kuwekeza zaidi kwa kuwafuata wakulima na wafugaji ili kuwavutia kupata huduma za kibenki

    MABENKI YATAKIWA KUWAFUATA WAKULIMA NA WAFUGAJI - DKT. BITEKO 📌Serikali Kuendelea Kuweka Mazingira Wezeshi ya Uwekezaji 📌Mikopo Chechefu Yapungua Nchini 📌 Dkt. Biteko Azindua Tawi la KCB Geita Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe...
  4. R

    Umekutana na kero gani benki ambayo ilikukwaza na kukupotezea muda? Wataje hapa wajirekebishe

    Wakuu, Kuna baadhi ya benki ukienda kupata huduma unaenda umetabasamu ukitoka unatamani upasuke kwa hasira. Baadhi ya kero ya kero ni wadumu kufanya mambo mambo taratibu sana, mtu mmoja anatumia hata nusu saa halafu kikubwa kinachofanyika hakuna. Ama unakuta benki ina madirisha mengi lakini...
Back
Top Bottom