hotuba kwa taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nicolas J Clinton Gabone

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mustakabali wa Tanzania na uchaguzi wa busara ya kihistoria

    HOTUBA KWA TAIFA KUHUSU MUSTAKABALI WA TANZANIA NA UCHAGUZI WA BUSARA YA KIHISTORIA Hotuba kwa Taifa, vyombo vya Habari na wananchi ndani na nje ya Nchi. Ndugu wananchi, Watanzania wenzangu, Na wote mnaolipenda taifa letu, Leo nasimama mbele yenu kwa heshima kuu, kwa uzito wa moyo na kwa...
  2. Replica

    JamiiForums Tanzania Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

    Leo Rais Samia wakati akitoa hotuba ya kufunga mwaka 2021 ameitaja akiba ya fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 6,253. Nikajua labda lafudhi ya kizanzibari imenichanganya au kosa la usomaji. Kumbe ndivyo alivyoandikiwa kwenye hotuba yake, najiuliza mchakato wote wa maandalizi ya hotuba...
  3. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia Taifa - Desemba 8, 2021

  4. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Kuanza tena wizi, ubeberu na hatma yetu

    Inasikitisha lakini haishangazi, kwamba wapo baadhi ya watu, wakiwemo Watanzania wenzetu wameanza tena kurejea tabia iliyokuwa imeanza kukoma, ya udokozi wa mali ya umma, wizi. Kwamba baadhi ya wafanyabiashara waliokuwa na mwenendo mzuri wa kulipa kodi wameanza ujanja na kulegea katika msimamo...
  5. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania FULL TEXT: Hotuba ya Mwenyekiti na KUB Mhe. Freeman Mbowe kwa umma kuhusu Janga la Corona

    CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA UMMA JANGA LA CORONA NA YANAYOENDELEA BUNGENI 1.0 UTANGULIZI Ndugu zangu Watanzania, Kamati Kuu ya Chama chetu CHADEMA, ilifanya kikao chake cha kwanza kwa mfumo wa kidigitali kupitia jukwaa lake la CHADEMA Digital, siku ya Jumamosi...
Back
Top Bottom