Wanafunzi wa UDOM tunalipishwa hela ya Makazi tunapobaki wakati wa likizo ingawa tunakuwa tushalipa hela ya makazi (accommodation fees) ya mwaka mzima kwenye direct cost.
Sasa swali ni je kama tunalipa hela ya makazi ya Mwaka mzima kwanini tulipishwe wakati walikizo? Au hii likizo haupo kwenye...
Kumekuwepo na ukosefu wa maji katika Hostel za Ubungo za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tunapoishi Wanafunzi wa Uzamili (Postgraduate Students) ambao tunasoma Master's Degrees na Ph.D!
Kipindi hiki hali imekuwa mbaya zaidi na tunalazimika kununua dumu moja la Lita 20 kwa Tsh. 1,000 ambayo ni sawa...
Anonymous (b213)
Thread
hosteli
maji
masters
moja
ndoo
ubungo
udsm
wanafunzi
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tumelipia gharama za hostel lakini cha ajabu tunaambiwa vyumba / hostels zimejaa ilihali Mwanafunzi umeshalipia gharama za hostel.
Kibaya zaidi mfumo wa Chuo (SR2) unakulazimisha ili ukamilishe usajili lazima ulipie accommodation fee (gharama ya hostel)...
===
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Faustine Mkenda amezikaribisha Kampuni, Watu binafsi au Mashirika ya kiria kuchangamkia fursa za kujenga na kuendesha Nyumba kwaajili ya mabweni | Hosteli maeneo jirani na vilipo vyuo ambavyo vinaupungufu wa Hosteli kwaaji ya...
Kwenye makala hii nimekushirikisha vipengele muhimu zaidi vinavyotakiwa kwenye mkataba kati ya mmiliki na msimamizi wa hosteli.
Ninaamini kwa kuzingatia mambo utaweza kupunguza changamoto nyingi zinazohusiana na usimamizi wa majengo ya hosteli za wanafunzi wa vyuo.
Hapa kuna sheria 30...
Utangulizi.
Majengo ya hosteli ni miundombinu iliyoundwa maalum kwa ajili ya kutoa makazi kwa wanafunzi. Majengo haya yanaweza kuwa ndani ya kampasi ya chuo au nje kidogo, lakini karibu na chuo.
Kwa ujumla, majengo ya hosteli ni sehemu muhimu ya maisha ya wanafunzi wengi, yanayowapa nafasi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.