hospitali za serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    DOKEZO Wizi kwenye malipo ya cash hospitali za serikali (imetokea Amana)

    Kuna tabia mbaya inayofanywa na watumishi wa hospitali za umma. Wakigundua mgonjwa (hasa wa kulazwa) anatumia cash na yupo kwenye hali mbaya, huwa wanawanunulisha ndugu madawa mengi ambayo mgonjwa hatoyatumia. Kwa sababu ni ngumu kwa watu kujua, huwa wanalipia dawa nyingi na kuzikabidhi...
  2. Fbn

    Tetesi: Jamani hii code nawapa kuwa kuna wafanayazi ambao ni wizara za afya wanaofanya kazi za vifo kwenye hospitali za serikali wamepewa likizo kubwa

    Hospitali za serikali ndio wasimamizi wakubwa wa vifo na wanafanya hiyo kazi wamepewa likizo kubwa ili kutovujisha habari na sababu walizopewa tokea tarehee za kukaribia uchaguzi mpaka leo wanashindwa kujua mapumziko yao ni sababu ya nini. Mituha ya taarifa za vifo imepewa na wahuni na sasa...
  3. H

    Tatizo la wagonjwa kulipia dawa hospital za serikali halafu badae kuandikiwa nyingine

    Habarini, Kumekuwa na tabia ya madaktari hasa wa hospitali za serikali za wilaya hadi ya taifa Muhimbili kuandikia dawa wagonjwa na baadae kubadirisha na kuandika dawa nyingine huku tayari zimeshalipiwa dawa alizoandikiwa mwanzo kitu ambacho husababisha hasara na gharama kubwa kwa wagonjwa...
Back
Top Bottom