Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea kusisitiza usomaji wa dira za maji shirikishi ili kupunguza dhana ya baadhi ya wateja kuhusu kubambikiziwa bili za maji kila mwezi zisizo akisi matumizi yao.
Hayo yamebainishwa na Meneja wa DAWASA mkoa wa kihuduma...
Kumekuwa na ubabaishaji sana kuhusu suala la kufungua barabara ya kwa Makombe hadi Jerusalem, ambayo imefungw na mtu mmoja anayeitwa Jose ph dhidi ya wanaichi zaidi 30 wanao itegemea barabara hiyo,
Awali, Ofisi ya wilaya na Kamati ya urasimishaji mtaa wa Hondogo, ilikuja kusikiliza hii...
Hali ni mbaya sana kwa barabara ya Kibamba kwenda Hondogo kata ya Kibamba wilaya ya Ubungo. Hatuoni viongozi wakichukua hatua kurekebisha, si TARURA, si diwani, mbunge wa kuchaguliwa wala mbunge wa viti maalum wamefanya hata ziara kuangalia au hata kuagiza magreda kuja kutengeneza barabara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.