Kumbe Haji Manarà alikuwa sahihi aĺiposema mtu ukiwa yanga unajikuta kichwani hamnazo. Yeye mwenyewe yamemkuta hayo hayo!
Zilikoenda akili hata yeye mwenyewe hawezi kujua!! Utopolo sijui wanalogana namna gani!
Na kama tukiamua 'Kuwakazia' tutaishia Kuwachapeni sana 'Bakora' na huenda hata hizi Pesa zenyewe tusiwe tunawapeni vile vile na hakuna cha Kutufanya.
Haiingii Akilini Mtoto umeenda Kumtembelea Wiki Mbili tu zimepita Leo hii anakupigia Simu na Kukuambia sijui kaishiwa Vitabu mara sijui kaibiwa...