historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Matumaini ya CHADEMA yamebakia Mara, Iringa na Mbeya kule Kilimanjaro na Arusha kutabaki historia

    Kwa tathmini niliyoifanya katika mikoa ya Mara, Iringa na Mneya ni kwamba Chadema bado ina ushawishi kwa kiasi fulani na hata kama itapoteza wabunge lakini itapata madiwani. Kilimanjaro na Arusha hali ni tete na yawezekana ikabakia katika historia tu kwamba kaskazini " iliwahi" kuwa ngome ya...
  2. JamiiForums Tanzania Historia ya udhalimu ikihifadhiwa ni silaha kwa aliyedhulumiwa na huwa funzo jema kwa dhalimu

    HISTORIA YA UDHALIMU IKIHIFADHIWA NI SILAHA KWA ALIYEDHULUMIWA NA HUWA FUNZO JEMA KWA DHALIMU Mgahawa mpya ulitangazwa kuwa utafuguliwa tarehe kadhaa na ukawa unafanyiwa matangazo katika gazeti maarufu mjini Tel Aviv na tangazo likawa limetiwa kila aina ya maneno ya kuvutia wakisema, ‘’Watch...
  3. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru wa DRC: Mfalme Philippe wa Ubelgiji amtumia barua Rais Felix Tshisekedi na kuelezea majuto yake kutokana na utawala wao nchini humo

    Mfalme Philippe wa Ubelgiji ameeleza majuto yake kutokana na unyanyasaji uliofanywa na nchi yake wakati wa ukoloni Katika maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa DR Congo, Mfalme Philippe amesema hayo katika barua aliyoandika kwa Rais Felix Tshisekedi Ubelgiji ilikuwa Mtawala wa DR Congo kutoka...
  4. JamiiForums Tanzania Historia ya Sanamu ya Askari (Askari Monument) iliyopo Posta, Dar es Salaam

    Sanamu ya Askari au Askari Monument ni sanamu iliyopo kwenye kitovu cha jiji la Dar es salaam kwenye mahali ambapo mitaa ya Samora na Azikiwe (zamani: Maktaba) zinakutana. Sanamu inamwonesha Askari Mwafrika katika sare ya Kijeshi, Jeshi la King's African Rifles la wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaweka historia: Mwaka 2015 CHADEMA iliingiza bungeni 23% ya wabunge wanawake wa kuchaguliwa Majimboni

    Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 jumla ya wabunge 276 walichaguliwa majimboni kati yao wabunge wanawake walikuwa 26 na wanaume 250. Kati ya hao wabunge 26 wanawake, wabunge 6 walitoka chama kikuu cha upinzani CHADEMA. Hiyo ni sawa na 23% ya wabunge wanawake wenye majimbo. CHADEMA hongereni...
  6. JamiiForums Tanzania Fahamu historia fupi ya Rais mpya wa Malawi Dkt. Chakwera

    MJUE RAIS MTEULE WA MALAWI MH LAZARUS MCCARTHY CHAKWERA Na Elius Ndabila 0768239284 Nchi ya Malawi wiki hii ilifanya uchaguzi ambao matokeo rasmi yametangazwa leo na kumpatia ushindi Mh CHAKWERA. Ikumbukwe Malawi imefanya Uchaguzi huu baada ya mahakama ya juu ya Malawi kutengua matokeo yaliyo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna kila dalili za lolote kutokea katika Uchaguzi wa Mwaka huu

    Hivi sasa ukipita mitandaoni, utaona kabisa kuna aina fulani ya watu kuanza kuhamasishana kuhakikisha haki inatendeka katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu na wanasiasa ndio wanaonekana kuwa mstari wa mbele kuhakikisha haki inapatikana. Ukisikiliza clip zao mitandaoni na kusoma...
  8. JamiiForums Tanzania Historia ya kina Zanzibar

    Zanzibar mwaka 1200 HISTORIA YA NENO ZANZIBAR:Ukweli ni kwamba kila kilichopo hapa duniani kina historia yake. Na ifahamike kuwa kabla ya kuja kwa wageni katika bara la Afrika, kila kitu kIlikuwa na jina lake. Na majina mengi yaliyokuwepo na mengine bado yalikuwa na huhusiano wa karibu sana na...
  9. JamiiForums Tanzania Historia ya mtu ni muhimu kwa kiongozi

    Asilimia 80 ya abusers walikuwa abused pia. Kiongozi aliyepata tabu sana utotoni na kwenye maisha atapenda na wengine wapate tabu. Mzazi aliyechapwa Sana hadi akafanikiwa atawachapa wanawe pia Kama njia ya kutaka wafanikiwe. Ukipata kiongozi ambae makuzi yake hayakuwa ya taabu atapenda wafuasi...
  10. JamiiForums Tanzania Peana Mikono na Shetani: Historia na uzoefu unaomiumiza sana toka kwa Romeo Dallaire

    Moyo wangu umejawa na simanzi, macho yamefunga kwa huzuni, uso umesawajika kwa haya ninayoyasoma yaliyotendwa na binadamu kwa binadamu wenzao. Romeo Dallaire ameelezea mambo kwa mtazamo wake. Mengi ya mambo aliyoyaandika nmeyasoma pia toka kwa waandishi wengine na wana JamiiForums pia humu...
  11. JamiiForums Tanzania Historia ya Morogoro, nne ya kirumi na asili ya boka, nyoka mwenye vichwa saba katika milima ya Uluguru

    HISTORIA YA MOROGORO, NNE YA KIRUMI NA ASILI YA BOKA, NYOKA MWENYE VICHWA SABA KATIKA MILIMA YA ULUGURU. Leo 15:15pm 14/06/2020 Wakati wa likizo tukiwa wadogo tulipofunga Shule pale Bungo Primary School, Mimi na ndugu zangu tulikuwa tunakwenda kuwasalimu Bibi na babu kijijini Tawa Matombo,pale...
  12. JamiiForums Tanzania Ureno yaanza kuzinduka na historia yake ya Uislamu

    Ureno kwa nchi za Afrika Mashariki iko pembe ya mbali sana na mbele ya kaskazini magharibi ya Afrika.Hata hivyo eneo hili la Afrika limejaa historia inayofungamana na Ureno kuanzia Kenya mpaka Msumbiji. Hii nchi inayojulikana rasmi kama Porugal kwa sasa inajinasibu sana na Ukristo wa madhehebu...
  13. JamiiForums Tanzania Historia ya Nkurunziza na Burundi yake

    Historia ya Burundi ni ndefu sana, nimeielezea vizuri kwenye kitabu changu ambacho huenda mwezi ujao kikawa tayari (Inshallah). Jiandae kusoma uchambuzi yakinifu kuhusu siasa zetu za ndani na za nje hasa eneo la maziwa makuu. Leo nitaeleza machache lakini mengi utayapata kwenye kitabu. Jiandae...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

    Hotuba ya Tundu Lissu, FULL TEXT: KWANINI NAGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA? Wananchi na raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania popote walipo, ndani na nje ya nchi yetu; Wanachama, wapenzi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA); Marafiki wa Jamhuri ya...
  15. JamiiForums Tanzania Ijue historia ya Firauni na uongo uliozushwa

    Mnaemuita firauni ni babu yenu, wa asili! alikuwa ni Mweusi tii!! jina lake aliitwa Mkuu Ramesses wa II au Sese. Nimekuwa nikiona habari kutoka kwa watu, kuwa mwili wa Ramesses ll huwa ukizikwa, unarudi juu kesho yake. Hivi hili linawezekanaje!! tena watu wenye akili timamu kabisa wanaamini...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa sasa hawana busara na maadili mema, hawajieshimu, hawaoni ukweli na hawajui historia yetu

    Ukiambiwa Dr Salim Ahmed Salim aliteuliwa balozi nchini Misri akiwa na miaka 22 halafu ukalinganisha na vijana wetu wa leo wenye elimu na umri huo utaona km vile tunarudi nyuma badala kwenda mbele. Na ukiambiwa miaka ya 70 hadi 90 nchi yetu ilikuwa na vyama vya ushirika kila mko vyenye nguvu...
  17. JamiiForums Tanzania Historia ya Marehemu

    HISTORIA YA MAREHEMU Na, Robert Heriel Alikuwa rafiki yangu mkubwa, alipo nilikuwepo, alichopenda nilikipenda, alichochukia nilikichukia. Watu wengi walituona ndugu. Wengine walituita mapacha tusiofanana. Kumbukumbu zake mpaka leo hii zinaniumiza, zinaujaza moyo wangu huzuni kuu, ni rafiki...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Historia kuandikwa leo Tanzania: Yanga na Laliga kusaini mkataba wa mchakato wa mabadiliko wa mfumo wa klabu

    WanaJF, Leo kuanzia saa moja usiku nchi itazizima kwa kufanyika tukio kubwa la kihistoria hapa nchini wakati mabingwa kwa kihistoria nchini, Yanga na kampuni ya Laliga ya Spain watakapokuwa wanaingia mkataba wa kuanza kwa mchakato wa mabadiliko ya mfum wa uendeshaji wa timu ya Yanga Mchakato...
  19. R

    JamiiForums Tanzania China na historia mbaya ya kueneza magonjwa duniani (pandemics): The case of Bubonic Plague

    .... imeandikwa kuwa the Black Death ambayo iliua karibu 60% ya watu duniani ilianzia China. The Black Death: What Bubonic Plague Reveals About COVID-19 Coronavirus Pandemic The so-called Black Death, or pandemic of the Middle Ages, began in China and made its way to Europe, causing the death...
  20. JamiiForums Tanzania Masomo ya Civics, Kiswahili na Historia yaondelewe yawekwe ya Kilimo, Ufugaji na Ufundi

    Elimu inatakiwa isaidie mtoto kupambana na mazingira kwa kutumia raslimali zilizopo Masomo ya O level kama Kiswahili, Civics na Historia yanapoteza tu muda watoto. Yawekwe masomo ya kilimo na ufugaji kuanzia wa wanyama, ndege, samaki na some la ufundi wa kutengeneza vitu kutokana na raslimali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…