Watu 50 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Geita kwa tuhuma za kuchoma hifadhi ya msitu na kufanya vurugu.
Katika taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Agosti 15, 2025 na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Adam Maro imeeleza watu hao wanadaiwa kuwashambulia maofisa misitu wanne, kuharibu mali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.