hge

HgeTx1 (systematic name: α-KTx 6.14) is a toxin produced by the Mexican scorpion Hoffmanihadrurus gertschi that is a reversible blocker of the Shaker B K+-channel, a type of voltage-gated potassium channels.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    NI KOZI ZIPI KWA CHUO KIKUU ZENYE SOKO KWA SASA ZINAMFAA MTU ALIYESOMA HGE?

    Habarini za wakati huu wanajukwaa? Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,naombeni kujua ni kozi zipi zenye soko kwa sasa ambazo anaweza kusoma chuo kikuu mtu aliyesoma HGE advance?
  2. M

    Natamani kusoma HGE advance, nimemaliza form four mwaka jana, ila sijasoma Economic o level

    Natamani kusoma HGE advance. Nimemaliza form four mwaka jana, ila sijasoma Economic o_level. Hivi itawezekana kuchaguliwa hii combination natamani?
  3. S

    Kama kuna mwanafunzi anasoma tahasusi CBG na HGE imekula kwake. NECTA yazifuta rasmi

    Ndiyo. Habari ndiyo hiyo. NECTA imezifuta rasmi combinations za CBG na HGE. Tafuta utaratibu mwingine kama ulikiwa unasoma hizo combinations. Nimemaliza!
  4. Cheology

    HGE asome kozi Gani?

    HGE asome kozi Gani? Ana one point nane
  5. Edgar 8900

    Nimesoma HGE nisome Degree gani?

    Nimesoma HGE kozi gani inanifaa pale SUA au ARDHI
  6. R

    Unaweza kusoma HGE ukapata course inayokuwezesha kuwa financial analyst?

    Msaada Unaweza ukasoma HGE ukapata course unayoweza kuwa financial analyst?
  7. M

    Aliyesoma HGE anaweza kusoma Bachelor of Accountancy?

    Habari za leo wanajukwaa, Naomba msaada kwa wale mliosoma au mnasoma Bachelor ya Accountancy chuo cha CBE. Naombeni kufahamu, kwa mtu ambae amesoma HGE miaka ya 2007, akiwa na matokeo ya HISTORY D, GEOGRAPHY D, ECONOMICS F NA BAM F, je anaweza toboa akianza kusoma course ya Accountancy kwa...
Back
Top Bottom