Habari za wakati huu ndugu zangu wana-jukwaa.
Katika mada iliyopita, tulijadili misingi ya kistaarabu ya kutatua migogoro na umuhimu wa kuzuia maneno ya dharau. Leo tunaongezea nguzo nyingine muhimu sana ambayo ndiyo nguzo kuu inayoshikilia ustawi na maisha marefu ya ndoa yoyote iliyofanikiwa...
Katika maisha ya sasa ya teknolojia, simu imekuwa sehemu kubwa ya maisha binafsi ya watu. Ndani yake kuna mawasiliano, kumbukumbu, siri na hata heshima ya familia.
Wakati mwingine mtu anaweza kujikuta ameona jambo ambalo hakutarajia kabisa — jambo linaloweza kumuacha na maumivu ya moyo...
Wanawake mliokuwa kwenye ndo muheshimu waume zenu maana wamewapa heshima kubwa ya kuwaoa na kuwaweka ndani, wanawalisha na kuwavisha punguzeni midomo, gubu, dharau, jeuri, na baadhi yenu ku-cheat.
Huku nje ngumu jamani wenzenu tunatamani hizo ndoa lakini tunakutana na magumegume tunatamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.