hersi

Hersi may refer to:

Youssouf Hersi, Dutch footballer
Mohamud Muse Hersi, Somali politician
Amina Moghe Hersi, Somali entrepreneur
Hersi Aman legendary 3rd Sultan of the Habr Yunis
Khalil Abdulkadir Farah Hersi (1946-2005), Somali poet
Hersi Matmuja, Albanian singer

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama tu Injinia Hersi wa GSM na Yanga SC yake anaonyesha 'Udhaifu' huu kwanini Yanga SC isiwe na Matokeo mabaya na ya hovyo hovyo?

    Yupo Studioni sasa EFM kwenda ' Kuzurula ' na ' Kuwadanganya ' wana Yanga SC na ameulizwa Swali dogo lenye Kuhitaji jibu fupi tu na Mtangazaji Tunu Hassan Shemkome na Majibu yake ( Injinia Hersi Said ) yakawa hivi ( haya ) .... Swali Mtangazaji Tunu... Je, bado Injinia Hersi anadhani Yanga SC...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Baada ya Injinia Hersi na GSM kuona Simba SC inaenda kuubeba tena Ubingwa wa VPL, wameandaa Zengwe kukwepa Lawama

    Ikumbukwe kuwa akiwa anaongea na Kipindi cha Michezo cha Wasafi FM na hata kile cha EFM Boss huyu kutoka Kampuni ya GSM inayoifadhili kwa Kuinyonya Kimapato Klabu ya Yanga Injinia Hersi alisikika akisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa kwa 100% Yanga SC inaenda kuwa Bingwa wa 2020/2021 VPL na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…