hereni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kitendawili: Paka aliyesuka mabutu, nyoka mwenye hereni na panya mwenye T.B

    Jibu ni Mr.Ebo !
  2. Unamchukuliaje mwanaume anayevaa hereni katika jamii yako?

    Hereni ni pambo linalotumiwa na wanawake tangu enzi na enzi za mababu zetu lakini kwa sasa hii imekuwa tufauti sana kwani hata wanaume siku hizi wanavaa. Je, ni sahihi kwa mwanaume kuvaa hereni kwa sehemu yoyote kwa namna yoyote ile na kwa kisingizio chochote kile?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…