hayati

Pir Hayati-ye Sofla (Persian: پيرحياتي سفلي‎, also Romanized as Pīr Ḩayātī-ye Soflá; also known as Pīr Ḩayātī, Pīr Ḩayātī-ye Pā’īn, Pīriāī, and Pīryal) is a village in Mahidasht Rural District, Mahidasht District, Kermanshah County, Kermanshah Province, Iran. At the 2006 census, its population was 210, in 47 families.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ikiwa October 29 ilikuwa birthday ya hayati Magufuli, vipi kuhusu March 17?

    Salaam! Yaliyotokea October 29,ujasiri ule wa wananchi kutoka kudai haki siku ya uchaguzi,inasemekana ilichangiwa na roho ya uzalendo aliyoipanda hayati Magufuli. Sasa tunaelekea March 17 siku tuliyotangaziwa kifo Cha Magu, na ukizingatia akiba ya dhahabu mzalendo Magu aliyoitunza benki kuu...
  2. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Hayati Rais Magufuli alivyookoa mamilioni ya kupeleka ndege nje kwa ajili ya kuchorwa

    Hayati Rais Magufuli, Machi 28, 2019 alifanya ziara ya kustukiza kwenye karakana za Shirika la Ndege nchini (ATCL) kukagua ukarabati wa ndege ya serikali iliyopakwa rangi kwa gharama nafuu takriban Tsh milioni 5 ikilinganishwa na gharama zilizopaswa kwenda kutumika nje ya nchi kiasi cha zaidi...
  3. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Mirija ya wanaharakati ilipokatwa na Hayati Magufuli wakaanza kumtukana, alipoingia Samia wakadhani ni mteremko

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amesema wanaharakati wanapinga sana sababu mirija yao imekatwa na Serikali ya Mapinduzi
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Victor Mhagama ahojiwa na TAKUKURU kwa tuhuma za rushwa katika mchakato wa kura za maoni jimbo la Peramiho

    Siku chache baada ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Songea Vijijini, Thomas Masorwa, kwa tuhuma za rushwa zinazohusiana na madai ya kushawishi wapiga kura kumpigia Victor Mhagama wakati wa mchakato wa kura za maoni, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemuita na...
  5. JamiiForums Tanzania Nicolus Maduro amesalitiwa kama shujaa wetu hayati Magufuli alivosalitiwa

    Duru za kisiasa zimeweka wazi kuwa Maduro amesalitiwa na watu wake wa karibu. Maduro amefuatiliwa na mashushu wa Marekani kwa muda mrefu kiasi kwamba wakajua hadi siri zake za ndani . Inasemekana alisalitiwa na watu wake wa karibu kiasi cha kuvujisha hadi siri zake za ndani kabisa. Matokeo yake...
  6. JamiiForums Tanzania Walimuita hayati Magufuli kuwa dikteta Uchwara. Sasa wanamkumbuka. CHADEMA wana wakati mgumu sana

    Alikuwa busy kuhakikisha rasilimali za umma zinawaletea maendeleo wananchi. Akawaambia tuwe tunajikita kwenye ujenzi wa taifa baada ya uchaguzi. Then baada ya miaka mitano tunafanya siasa.Wakamuita dikteta uchwara Leo hii wanaishi kwa uoga, hata kuweka comment Facebook na Watsap wanaogopa...
  7. JamiiForums Tanzania Uwezi amini kale kagest ka Hayati Magufuli hapa chato kama mpaka kunguni, kamebakia na wateja wa shoo time, familia kabomoeni kana mtia dhambi.

    Nimefika hapa chato nikaona kagest chakavu kameandikwa Magufuli lodge, yaani nmeingia ndani naambiwa ni kakwake, ka enzi akiwa mwalimu. Nikauliza huduma ya kulala naambiwa Kako kwa Ajili ya shoo time ila kana kunguni wa kutosha Nashauri familia kaboeni jaman kanachafua Jina lake na kwa huduma...
  8. JamiiForums Tanzania Hizi propaganda mnazoeneza kuwa Hayati JPM alikumbatia mafisadi ni upuuzi. Jibuni tuhuma zenu. Why DP world? Why Nepotism.?

    Msiwawafanye watanzania ni wajinga na wapuuzi. Kwa nini Dp World ambao ni waarabu wapewe kandarasi ya kuendesha bandari wakati uwezo tunao. Kama ni kupanua na kujenga angepewa mkandasi akajenga na kuweka miundombinu ya kisasa. Watanzania wakapewa utaalamu na kuendesha bandari yao. Kuhusu...
  9. JamiiForums Tanzania Hayati Julius Nyerere ni sehemu ya matatizo ya sasa Tanzania

    Licha ya kuheshimu mchango wake kwa Taifa , lakini binafsi ninaamini sifa nyingi anazomwagiwa huenda zinazidiwa na makosa yake mengi yakisera na kimfumo wa uongozi aliyoyafanya ikiwa watu tutamuamgalia katika upande mwingine. Kwakifupi mtu huyu ni overrated * Aliruhusu mfumo wa vyama vingi...
  10. JamiiForums Tanzania CGI Anna Makakala ndio Mkuu pekee wa Chombo cha Ulinzi na Usalama aliyebaki mwenye uteuzi wa hayati Magufuli

    Rais Samia alipoingia tu madarakani 19 March 2021 alianza taratibu kuwaondoa Wakuu waVyombo vya Ulinzi na Usalama na kuweka wakwake. Ndio, wengine walikuwa washakaribia kustaafu kama Jenerali Mabeyo, ila wengine waliondolewa kabla ya kustaafu kwao kama vile DGIS Diwani Athumani pamoja na IGP...
  11. JamiiForums Tanzania Mbona sisi kama taifa tulipiga kelele hayati Nelson Mandela aachiwe? Kuna ubaya gani EU kupiga kelele Lissu aachiwe!

    Tulipopiga kelele na kupoteza rasilimali zetu kwa ajili ya hayati Nelson Mandela aachiwe Afrika ya kusini haikuwa Sovreign state? Ilikuwa dola huru lakini ilikuwa chini ya utawala dhalimu ambao ulimweka jela kwa kesi ya uhaini kwa mizengwe. Mpaka sasa hapa kwetu kesi ya Lissu imeonekana wazi...
  12. JamiiForums Tanzania Tukishachukua Nchi, Kifo Cha Hayati Magufuli kitachunguzwa, Wahusika wa Mauaji hayo Kuchukuliwa Hatua Kali za Kisheria !!Hakuna Cha Msamaha hapa !!

    Yaan nyinyi kama mlimteka Polepole mkadhani ndio mmezima Jinsi zenu, kimewalamba !!!!. Jiandaeni !! Sisi tumeamua kuisafisha Nchi hii kuanzia Mizizi yake !!.
  13. JamiiForums Tanzania Hayati Nyerere avuliwe hadhi ya Baba wa Taifa

    Mimi huwa sipindishi maneno. Yeyote yule akizingua nambadilikia. Kwa ufupi Mimi sio muumini wa kudumu wa chama au kiongozi yeyote awe wa upinzani au wa chama Tawala. Haya yote mnayoyaona kuwa hayako sawa ni matokeo ya utawala wa Mw. Nyerere. Alikuwa hana uwezo wa kuona mbali, kwakuwa...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia aweka shada la maua kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wanafamilia ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipozuru katika Kijiji cha Mwitongo Butiama Mkoani Mara...
  15. JamiiForums Tanzania Zisingekuwa kampeni za uraisi Samia hasingeomba kura ya Hayati mkapa, je mkapa atapiga kura?

    Wewe uko kwenye kampeni unaambatana kwenda kwenye makabari ya MAREHEMU kufanyaje?. Je, Mkapa atapiga kura Mwaka 2025? Tangu amefariki hujawai kwenda, leo kisa wataka Urais ndo wajitia kwenda kumwomba kura MAREHEMU kwani anapiga kura?
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Misholi aliona mbali sana kuimba huu Wimbo "bora hayati Nyerere"

    Huu wimbo ulitoka kuelekea kipindi cha uchaguzi wa J.K Kikwete mwaka 2004 na hayo aliyoyaimba hayakutokea. Ni miaka takribani 22 toka wimbo utoke na leo yote yaliyoimbwa yanaelekea kuwa dhahiri shahiri. Mzee wa watu alifanya unabii bila hata kujua utakuja kutokea lini na leo tunayaona...
  17. JamiiForums Tanzania Hii picha za Hayati Magufuli msibani kwa Kijazi ilizungumza mengi sana

    Jua lilikuwa limefichwa na mawingu mazito siku ile ya mazishi ya Katibu Mkuu Kiongozi, Dk. John Kijazi. Uwanja wa mazishi ulikuwa kimya, ukitawaliwa na sauti za ndege wachache waliokuwa wakiranda angani, kana kwamba nao walihisi huzuni ya siku hiyo. Viongozi na wananchi walikusanyika, wakivalia...
  18. JamiiForums Tanzania Audio: Magufuli akiviagiza Vyombo vya ulinzi kumchukulia hatua aliyelipwa mabilion ya pesa kuhusu sare za polisi

    GT Nikikaa nafikiria ulegelege wa vyombo vya ulinzi na usalama awamu hii mwili huwa unakufa ngazi kabisa. Jamani au na Wao wamejiunga na MACCM Kuiba rasilimali za nchi hii. Hapa Hayati Magufuli aliagiza Angela kizigha achukuliwe hatua lakini why siyo sasa na amerudishwa tena ooh nooo my country..
  19. JamiiForums Tanzania Polepole aache kutumia jina la Hayati Magufuli kuhalalisha vioja vyake.

    Baada ya kutazama video nzima ya Polepole ya dakika 59 nimeona niandike huu uzi ili kuweka mambo sawa kwa facts tupu. Huu uzi ndo utakuwa msimamo wa JF nzima dhidi ya vioja vya Polepole. Nimejitahidi kumpuuza ila naona anakoelekea sio pazuri kwa afya yake ya akili ndo maana nimeona nimsaidie...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao mlimpenda sana Hayati Magufuli, basi David mwaijojele wa CCK, Ndiye!

    High quality copy ya hayati Magufuli pekee ni bw. David Mwaijojele, trust me or not, kwa wale watu wa msimamo mkali mmepata mtu mwenye wajihi sahihi, mfuatilieni nyendo zake na sera zake pamoja na msimamo yake!, kwa wale ambao bado mnamisimamo mikali pitieni njia hiyo jiungeni kwa wingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…