Dah .... Nilimpenda sana sana Magufuli... Huyu kanisababishia niwe mfuatiliaji wa Habari sana hapa Tanzania...
Kila siku nilikuwa natamani kusikia kitu kipya...
Siku Giza lililopomkuta... Nakumbuka ... Nilikuwa nje kikazi...
Mhhhh ... Ile nafika nyumbani saa sita usiku, kwa vile nilikula huko...