hatua za haraka zichukuliwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Hatua za haraka zichukuliwe kuinusuru nchi na mfumuko mkubwa wa bei kwa vifaa vya ujenzi

    Salaam! Baada tu ya sintofahamu ya Oct 29, pametokea mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa mbalimbali Katika sekta mbalimbali, Leo nitaongelea sekta ya ujenzi. Bei ya kigae Cha size (40"*40") January 2025 ilikuwa tshs 23,000 kwa boksi moja lenye 12 PCs, January 2026, kigae hicho hicho Cha size...
  2. passioner255

    Hatua za haraka zichukuliwe kuoka nchi

    Naomba hatua za haraka zichukuliwe kuokoa nchi kama kuwamaliza wauaji na wahuni(wanajulikana na kuleta haki na siasa safi. Mi ninavyojuaga existence ya nchi inalindwa hata kwa kuwatoa wahuni uhai kwa sababu existence ya nchi siyo jambo la mzaha.
  3. ChekoFagia

    PostGE2025 Heche: Hatua za haraka zichukuliwe kuliepusha taifa na matatizo, walioua na walioagiza watu kupigwa risasi wachukuliwe hatua

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche ameitaka serikali kuchukua hatua za haraka ili kuepusha nchi kuingia kwenye matatizo makubwa yanayoweza kuathiri amani na usalama wa wananchi. Heche alisema kuwa hatua za kisheria zichukuliwe dhidi ya waliouwa watu na...
Back
Top Bottom