Kumekuwa na malalamiko kuwa muda wa mechi kuna vipindi vinaendelea. Jambo la msingi ni kujua kuwa ni baadhi tu ya mechi za bure hupewa televisheni za taifa waonyeshe lakini mechi nyingi hupewa chanel za kibiashara. Wastani huwa ni mechi moja kwa siku, hizi ndo mechi za bure ambazo zitakuwa...
Hizi timu zero mbili safari hii sioni hata moja ya kuvuka hatua ya makundi bali zote zitaishia hatua ya makundi.
Yaani hamna cha robo wala mwakarobo kwa timu zote mbili.
Kwa sasa, hatuna timu za kushindana kimataifa msimu huu unless zinabadilika.
Yanga alicheza fainali kama best looser kutoka mechi za champion hakupambana tangu awali na huko pia alibebwa na simba baada ya kufanya vizuri na nchi kuongezewa washiriki..Simba anakwenda kucheza fainali kwa kuipambania wenyewe na kulitwaa kombe na kuivunja rekodi ya yanga ya kufika fainali na...
Katika historia ya Hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika, kumekuwa na matokeo ya kushangaza yaliyoweka rekodi za ushindi wa mabao mengi.
Hapa ni baadhi ya ushindi wa tofauti kubwa zaidi katika historia ya mashindano haya:
Mwaka 2019:
• TP Mazembe 8-0 Club Africain
Mwaka 2023:
•...
Mimi Dabil nikiwa na akili zangu timamu bila kushurutishwa au kushawishiwa na mtu yeyote,Yanga akivuka hatua ya makundi na kuingia robo fainali nipigwe BAN ya mwezi.
Ninetafakari sana,haitatokea Yanga kuvuka hili kundi maana hawana uzoefu wa kuingia robo fainali ya club bingwa mwisho wa ni...
CAFCL Group A Preview!
Get ready for a thrilling Group A, where all four teams have a genuine shot at advancing to the next round.
Upsets are a real possibility, and even the favourites could find themselves on the brink of elimination.
#TotalEnergiesCAFCL #CAFCL
Yanga..........28
Tp...
Nadhani wenyewe hawajui ila bora wangeweka HQ yao iwe Dar tu kwakeli.
Huku Tanzania toka jana habari ya mjini ni makundi yaliyopagwa huko CAF champions league na CAF confederation cup.
Hii nchi watu wanapenda mpira kuliko chochote nadhani serikali ifanye jambo kuifanya Tanzania kuwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.