Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Mbunge wa Makete, na Waziri wa Nchi - Ofisi ya Rais (Usalama wa Taifa), Dkt. Hassy Kitine, lilivyowasili nyumbani kwake Osterbay, mtaa wa Laibon, Dar es Salaam.
Mazishi yanatarajiwa kufanyika leo Julai 26, 2025...