hassan sheikh mohamud

Hassan Sheikh Mohamud (Somali: Xasan Sheekh Maxamuud; Arabic: حسن شيخ محمود; born 29 November 1955) is a Somali politician serving as the current president of Somalia since 15 May 2022. He previously held the office from 2012 to 2017.
Hassan was previously a university professor and dean at SIMAD University, which he co-founded. During 2012 he was elected President of the Transitional Federal Government (TFG). Time magazine placed him on an annual list of the 100 most influential people in the world in 2013. During 2014 he controversially welcomed the entry of Ethiopian troops into the African Union mission in the wake of the 2006 invasion. His first administration faced serious criticism for rampant corruption, media restrictions and abuse of power.
After losing power in 2017, he became the founder and current chairman of the Union for Peace and Development Party. He was indirectly elected as President of the Federal Republic of Somalia on 15 May 2022.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Rais wa Somalia na Viongozi wa Upinzani Wasaini Makubaliano Mapya ya Uchaguzi

    Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamoud, pamoja na viongozi wakuu wanne wa upinzani, wamesaini makubaliano kuhusu uchaguzi ujao nchini humo. Makubaliano haya yaliyokamilika tarehe 25 Agosti 2025, yanabainisha mfumo mpya wa uchaguzi baada ya Bunge kupitisha sheria ya uchaguzi Oktoba 2024, ambayo...
  2. R

    Marais watatu wastaafu Somalia, waungana dhidi ya serikali ya Rais Hassan Sheikh Mohamud kwa uporaji na uuzaji holela wa ardhi ya umma.

    Kwa mara ya kwanza katika historia Somalia, marais watatu wastaafu Sharif Sheikh Ahmed, Abdiqasim Salad Hassan na Mohamed Abdullahi Farmaajo wameungana kutoa tamko kali dhidi ya serikali ya Rais Hassan Sheikh Mohamud. Wameilaani vikali kwa uporaji na uuzaji holela wa ardhi ya umma bila...
  3. Inside10

    Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud anusurika kuuawa na Alshabaab

    Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud, amenusurika kuuwawa siku ya Jumanne baada ya msafara wake kushambuliwa na magaidi wa al-Shabaab. Kulingana na serikali ya Somalia, msafara wa Rais Mohamud ulikuwa unaelekea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mogadishu kabla ya kushambuliwa na magaidi hao...
Back
Top Bottom