harbinder sethi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    Harbinder Sethi atakaswa na Polisi

    Harbinder Singh Sethi (Singasingal, mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited IPTL) na Pan African Power Limited (PAP), amesafishwa na Jeshi la Polisi kwamba hakabiliwi na makosa yoyote. kwa tuhuma zilizokuwa zikimkabili zikiwamo za mradi tata wa...
  2. M

    Zitto Kabwe ambwaga Harbinder Sethi Mahakamani tuhuma za kumkashfu na kumvunjia heshima mbele ya umma

    Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali kesi ya madai ya matusi iliyokuwa ikimkabili Kiongozi wa Chama Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, iliyofunguliwa na Harbinder Singh Sethi wa kampuni ya Pan Africa Power Solutions Ltd (PAP). Pia soma > Zitto Kabwe afunguliwa kesi na Harbinder Singh...
  3. The Burning Spear

    Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?

    GT Naendelea kusema maCCM ni Wahuni sana . Huyu Seth toka.mwaka 2016 ni Raia wa Kenya inakuwaje anaingia kwenye siasa za maCCM. Halafu kuna wqtu wanasema nchi hii ina usalama wa taifa, hakuna kitu kama hicho hao mi huwa nawaita wahuni tu walio kwa ajili ya matumbo yao.
  4. JanguKamaJangu

    Zitto Kabwe: Singh Seth kuendelea kudai kumiliki IPTL na kuisumbua Serikali na TANESCO ni utapeli wa wazi, anakiuka 'Plea Bargain'

    Jana Mjadala wa suala la IPTL kupitia Jamii Media JamiiForums umezuiwa kwa hoja kwamba jambo lipo mahakamani. Sikubaliani na tafsiri hiyo ya jambo kuwa mahakamani kwamba lisijadiliwe. Jambo hili ni la Umma, limeibuliwa na CAG, lazima lijadiliwe. KWANZA naunga mkono msimamo wa uongozi wa...
  5. My Son drink water

    Kesi ya Seth na Rugemalira: Serikali haitendi haki

    Hivi tangu lini DPP akabeba mamlaka ya mahakama? Tulikaa kimya kwa sababu kesi ya Habinder Seth na Rugemalira ilikuwa bado mahakamani, huwezi kuongea lolote kesi inapokuwa mahakamani, kwa sababu mahakama ni sehemu ya Haki. Eti Seth amekiri kwa DPP kwenye formal statement kwamba yeye ana makosa...
  6. GeoMex

    Kisutu: Mahakama yamhukumu Mfanyabiashara Herbinder Seth Kulipa fidia ya Tsh. 26.9 bilioni

    Leo 16/06/2021 12:45 Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, mmiliki wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder Seth kulipa fidia ya Sh26.9 bilioni baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia Sh309 bilioni kwa njia ya udanganyifu. Pia, mahakama hiyo imemhukumu kifungo cha...
Back
Top Bottom