Watu walinunua teuzi kwa mamilioni ya pesa kwa kuwa inaeleweka uchaguzi mkuu kwao ni ndani ya cham tu huku nje maigizo.
Wengine wakaamua kusaliti harakati za ukombozi na kugeuka machawa wa serikali kandamizi.Waliunga juhudi muda ambao ndugu zao ambao walikuwa wanafanya harakati pamoja wakiwa...
CHADEMA ndo kinara wa harakati hizi za Ukombozi wa Nchi hii.
Mwenyekiti, Tundu Lissu yupo mahabusu, chama kimefutiwa Ruzuku, kama haitoshi chama hicho hicho kimepigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa.
Nionavyo mimi ni kwamba, kwa mtiririko huu:-
1. Lissu hawezi kuachiliwa leo labda mpaka...
Siasa za nchi za Afrika zikeshindwa kuleta maendeleo ya kweli kutokana na mitazamo ya harakati za wanasiasa.
Kabla ya kupata uhuru, wanasiasa wa kipindi hiko walijikita katika kuleta ukombozi wa kweli kwa nchi zao. Hivi walielekeza nguvu katika kuleta umoja wa kitaifa. Baada tu ya ukombozi watu...
Hili ni angalizo la usalama kwa mustakabala mwema wa harakati za ukombozi na Mh. Lissu mikononi mwa watesi wetu:
Kama huyu ni wakili msomi akiiwakilisha CHADEMA na mwamba kwa kipindi chote: "ama?!"
Kwa hakika jopo la utetezi, mipango na mikakati nyeti ya mapambano haiwezi kuwa bwerere kwa...
Chadema kama kundi hawawezi kuleta Ukombozi wowote ila Mwanachama mmoja wa Chadema aliyejitoa Sauti yake inaweza kumfikia Mungu wa Mbinguni
Kwa mfano Shujaa Magufuli alijitoa Sadaka yeye binafsi kwa ajili ya Taifa hili
Shetani ndio hukusanya Umati mkubwa wa Watu Ili awaingize kuzimu lakini...
Kwamba hawa nao tumawapa majukwaa ya kisiasa na kuwashangilia?
Kwamba tuna hata wenye kujidhania kuwa ni wenye hoja kuliko hata wenye CV zao zinazojulikana kimataifa?
Kwamba tumefikia hatua ya kuwaacha hata wapuuzi kuwanyanyapaa wenye akili zao?
Na Bado tupo tupo tunakenua? Ama kwa hakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.