hapa ni wapi?

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. upupu255

    SI KWELI Picha hii ya barabara iliyopo mlimani imepigwa nchini Tanzania

  2. JamiiCheck

    KWELI Eneo iliporekodiwa video hii ni makutano ya barabara Moshi mjini, Kilimanjaro

    Mdau tumia nyenzo za kidigitali kubainisha eneo halisi iliporekodiwa video hii?
  3. JamiiCheck

    KWELI Nyenzo za kidigitali zinabainisha eneo ilipopigwa picha hii ni fukwe za Ziwa Nyasa Kyela, Mbeya

    Tumia nyenzo za kidigitali kubainisha eneo halisi ilipopigwa picha hii amba mdau aliuliza "hii ni sehemu gani bongo?" Je, umetumia nyenzo gani kujua eneo halisi?
  4. JamiiCheck

    SI KWELI Picha hii ni ya Tanzania. Kwanini tukifika hapa lazima mahubiri yaanze?

    Mdau anauliza 'Kwanini tukifika hapa lazima mahubiri yaanze?'' je, hapa ni wapi?
  5. JamiiCheck

    KWELI Hapa ni Mafinga, wakati wa mvua ya barafu

    Kwa kutumia nyenzo za kidigitali zinazokuwezesha kuthibitisha uhalisia wa video, bainisha eneo halisi video hii iliporekodiwa huku ukieleza Nyenzo uliyotumia.
  6. JamiiCheck

    KWELI Picha hii ni halisi, ilipigwa mkoa wa Mbeya, Tanzania

    Kwa kutumia nyenzo za kidigitali zinazokuwezesha kuthibitisha uhalisia wa picha, bainisha eneo halisi picha hii ilipopigwa na Nyenzo uliyotumia.
Back
Top Bottom