hamu ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. masai dada

    Hali ya juu sana ya hamu ya ngono

    Wapendwa, kwanza poleni sana na msiba. Kwa upande wangu, naona kabisa kama niko kwenye majaribu makubwa. Nimejaliwa watoto wangu wawili, na nikahisi wananitosha kabisa. Hapo nikachukua uamuzi wa kuweka kipandikizi mkononi. Baada ya mwaka mmoja kupita, kile kipandikizi kikaniletea maudhi...
  2. Dr Luu

    Je, unakosa stamina, hamu ya tendo? Pitia hapa

    Somo Fupi: Utofauti wa Bidhaa za Kawaida na Mendose Bidhaa nyingi za stamina – mara nyingi zinasukuma mwili kwa nguvu za bandia. Hupandisha presha ghafla, kufanya moyo kupiga haraka, kisha nguvu hupotea haraka. Matokeo yake: mwili unachoka zaidi, kinga hushuka, na mara nyingine husababisha hofu...
  3. Dr isaya febu

    Lijue Tatizo la Kujihisi Mnene na Kukosa Hamu ya Kula (Anorexia nervosa).

    Anorexia Nervosa Ni Nini? Anorexia Nervosa ni tatizo la akili na lishe (eating disorder) ambapo mtu hujizuia kula chakula au kula kidogo sana kwa hofu kubwa ya kunenepa, hata kama tayari ni mwembamba kupita kiasi. Mtu mwenye anorexia huwa na mtazamo usio sahihi juu ya mwili wake na huamini...
  4. Kipenzi Changu

    Daah, leo nilikuwa na hamu ya wine Four Cousins-Ndio basi tena

    Huku kuna baridi sana, Nimepita dukani nikachukua Four Cousins nipige. Baadae nakumbuka ninatumia Cold-Off Capsule. Daah basi bwana
  5. Nomadiq

    Leo una hamu ya nini?

    Kwema, salamu zisiwe nyingi. Twende kazi una hamu ya kitu gani leo?
Back
Top Bottom