hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hali si shwari Msimbazi!

    Kuna mpasuko mkubwa uliopo ndani ya simba hivi sasa. Kuna bomu kubwa sana linakuja kulipuka muda sio mrefu. Hiyo yote ni kwa ajili ya Boss kuuza wachezaji wawili na mpunga bado haujasomeka katika account ya klabu. Wapo viongozi wenye hofu na wasiwasi kubwa sana juu ya biashara ya usajili ya...
  2. JamiiForums Tanzania Hali ya hewa ya Dodoma imenishinda

    Baridi kali, hewa kavuu Wadau mnaoishi Dodoma mnawezaje ishi, mnatumia sabuni na mafuta gani? maana mimi ndani ya wiki tu ngozi imekua kama ya kenge, bila citrizine mafua hayaishi. Utadhani nina-uviko.. Maji chumvi..sabuni hazitoi povu..wadau mnaishije... Msaada tafadhali
  3. JamiiForums Tanzania Ushindi wa UPDP Zambia wachina wana hali mbaya

    ukipita barabara ya Tunduma Nakonde kuelekea Lusaka utakutana na wachina waliojazana Zambia wakiishi kama raia wa kawaida opposition walisema watashughulika na hawa watu walioletwa na serikali ya PF. Africa tuna kazi sana kwa kweli
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tumefika hali hii kweli?

    Hii ni picha inayozunguka mitandaoni kuhusiana na yale yaliyokea leo. Siongezi neno lolote bali kila mtu ajionee mwenyewe.
  5. JamiiForums Tanzania Biashara Zimestuck na Hali ya uchumi si nzuri...

    Hali ya biashara sio nzuri kabisa...nimeona vitu hivi nikajifikiria sana 1.watu wengi sana wanafungua biashara then soon wanafunga,biashara nyingi zinaigwa 2. biashara ya daladala zimedoda sana mida ya saa tatu hadi saa tisa 3.ugonjwa umechangia sana...watu hawatoki hovyo, nahisi kama...
  6. JamiiForums Tanzania Nashangaa kwenye daladala tunahimizwa kuvaa barakoa ili hali Waukae festival lile nyomi hakuna hata alovaa barakoa!

    Nahisi siasa imetumaliza wabongo tunahitaji mabadiliko makubwa hasa iki kipindi cha uviko 19 naona kama viongozi wetu wanawaza ujinga badala ya kufanya kazi za misingi kwa taifa letu. Poor us
  7. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi tuzitambue vyema hali za wananchi wetu ili kuweza kufanya maamuzi yasiyo kandamizi

    Ninaandika makala hii baada ya kilio cha wanachi kutokana na maamuzi mbalimbali yanayofanywa na serikali. Baada ya kutoka kwa bei mpya za vifurushi kwenye huduma za maongezi na intaneti kilio kikubwa cha wanachi kilizuka . Baadae imekuja makato kwenye miamala ya pesa kilio kingine kikazuka...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali itenge fedha za kukarabati shule za Msingi nchi nzima, hali ya shule hizo ni mbaya

    Kwenye bajeti ya Serikali juu 2021/22 sijaona fedha zilizotengwa na Serikali kukarabati shule za Msingi Tanzania. Shule nyingi za Msingi Tanzania sasa zimekuwa magofu. Hapa Kilosa Mkoa wa Morogoro kuna shule ya msingi inaanguka.
  9. JamiiForums Tanzania Makato na tozo yamefika pabaya, wahusika fanyeni hima mrekebishe hali

    Mimi ni mteja wa NMB Bank. Katika kurahisisha huduma zangu za kibenki, nimejiunga na huduma ya NMB Mobile Banking. Huwa nafanya miamala yangu kutoka na kwenda benki yangu. Juzi, nilitaka kufanya muamala wa kutoa pesa benki kupeleka kwenye tigopesa. Kila nikijaribu kuingia kwenye menu ya NMB...
  10. JamiiForums Tanzania RC Mtaka: Hali si shwari Dodoma. Wananchi waendelee kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka amewataka wakazi wa Dodoma kuchukua hatua za tahadhari dhidi ya ugonjwa wa corona kwa sababu hali si nzuri mkoani humo. Ameyasema hayo leo Jumanne Agosti 3, 2021 wakati akizungumza na askari wa usalama wa barabarani na viongozi wa masoko wa mkoa wa Dodoma...
  11. JamiiForums Tanzania Hongera DED wa Mkuranga, Usipopatwa na hali hii inawezekana usimke

    DED nakushauri usisubiri kubanwa na haja ndogo ndo uamke. Amka hata bila kubanwa na haja ndogo. Ili Wilaya yako iweze fanya vyema. Huu ni ushauri tu. Unaweza chukua au kataa. Sitokulaumu.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo yafaa kauli mbiu iwe "Ukamataji uendelee"

    Kuna mambo dola inafanya hata waliopo CCM wamefika mahali wanakereka japo awasemi adharani. Kuna mambo yanafanyika hata familia ya Mkuu wa nchi inakereka kuona yanafanywa mbele ya ndugu yao. Ukamataji usio na tija wala mkakati ni uhuni kwenye Taifa. Leo unasikia sijui wamekamatwa watu Sirari...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kuvalishana pete za uchumba ni lazima kuwe na wageni waalikwa pamoja na sherehe?

    Hello wakuu. Nina mpango wa kumvisha pete mtarajiwa wangu. Swali langu ni je, lazima kualika watu au naweza kumuita ghetto tu nikamvalisha na mchezo ukaisha?
  14. JamiiForums Tanzania Ni ukomavu wa hali ya juu, taifa letu limeonesha kuwa hakuna aliye juu ya sheria

    Ibara ya 13(6)(a-e) imeeleza wazi uhumimu wa haki ya kila mtu anayetuhumiwa kufanya makosa kutendewa haki mbele ya mahakama na vyombo vya usalama. Haki hizi ni pamoja na kutopata mateso kwa watuhumiwa wakiwa chini ya vyombo vya dola. Kufikishwa mahakamana kisha kusikilizwa na kutiwa hatiani...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ya Kigoma, tujiandae kuzika

    Siandiki kumtisha MTU, ndio ukweli mtupu! Kigoma tayari kulikua na maambukizi makubwa sana kwa mujibu wa VP akiwa Makere-Kasulu alitamka hivyo. Nilitegemea serikali yenye akili ingeweza hata kuwaelimisha watu wake kuhusu hii mikusanyiko, matokeo yake wamehamishia akili zao walizonazo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya takataka na mbinu bora ya kuziondoa na kuweka mji katika hali ya usafi .

    Katika maisha yetu ya kila siku ,binadamu hujikuta akizalisha takataka ( uchafu ) mwingi kila siku ili kukidhi maitaji yake, Hivyo basi kujikuta katika wimbi la uchafuzi wa mazingira. Ambapo athari zake ni kama vile magonjwa ya mlipuko,ajari nakathalika. Leo tunaenda kuona namna ambavyo maisha...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM isitumie nguvu kubwa kuwabana wapinzani wanaodai katiba mpya, tukipata katiba mpya wanufaika wakubwa ni wafuasi wa CCM wenye hali duni

    Suala la taifa letu kuwa na katiba mpya tusiliangalie kwa upande mmoja tu wa shilingi. Katiba tuliyonayo ina mapungufu makubwa sana ambayo hayamnufaishi mwananchi wa kawaida mwenye maisha duni. Wananchi wanahitaji katiba itakayowapa nguvu ya kuonekana kuwa wana maamuzi kwenye nchi yao...
  18. JamiiForums Tanzania Sabaya hali tete Mahakamani, Mashahidi 10 kumkaanga

    Hii ndio taarifa mpya kwa sasa
  19. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wito wa waajiri ambao wanatuma matangazo ya ajira ili hali tayari wana mtu wa kujaza nafasi hiyo

    Mimi ni kijana mtanzania ambaye nimemaliza elimu ya chuo kikuu kada ya ualimu wa sayansi na nimehudhuria usaili mara kadhaa na leo nataka nizungumzie swala la matangazo ya ajira kwa taasisi zinazotoa ajira. Ajira ni changamoto ambayo inatukabili vijana wengi sana na inapotokea tangazo la ajira...
  20. JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa mtu mwenye hali ya chini ya chini ataathirika zaidi na tozo za miamala kuliko mwenye hela? Tazama Asilimia!

    Je, wajua Ukiwa mtu mwenye HALI ya chini hasa unayetumatuma kati ya 5000/= mpaka 100,000/= , ndo unaathirika zaidi na hizo tozo kuliko mtu mwenye HELA!... (Tazama Jedwali hapo chini!) Kwanini?: Msitizame TOZO tizameni %ge ya tozo! . Yaani ukituma Elfu hamsini kijijini mara kumi ikafika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…