hali ya usalama nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    Polisi: Kwa kipindi cha siku 10 hali ya usalama nchini ni shwari pamoja na kwamba kulijitokeza kwa baadhi ya matukio machache

    Leo ni takriban siku ya 10 toka Jeshi la Polisi Tanzania lilipotoa taarifa ya hali ya usalama nchini tarehe 12/12/2025. Tungependa kuwajulisha kuwa, kwa kipindi chote hicho hali ya usalama nchini ni shwari pamoja na kwamba kulijitokeza kwa baadhi ya matukio machache ambayo yalishughulikiwa kwa...
  2. Mshana Jr

    Hali ya usalama nchini inazidi kuwa tete

    Kilichokuwa kiwe uchaguzi mkuu Tanzania kwa mujibu wa katiba yake, kimepita na yaliyotokea sote tunayafahamu! Bado taifa halijatulia, bado fukuto lipo, la dhuluma, la maumivu, la ukatili mkubwa uliitokea nknk Hofu kwa upande wa pili ni kubwa zaidi.. Nadhani intelijensia inawapenyezea hali...
  3. DuaZaMama

    PostGE2025 Hali ya Usalama nchini yazidi kuathiri matukio makubwa ya kitaifa, ACA yachukua tahadhari

    ACA YAAHIRISHA MKUTANO WA 19 WA KILA MWAKA WA KOROSHO NA MAONESHO JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA Bodi ya Wakurugenzi ya Muungano wa Korosho Afrika (ACA) imetangaza kuwa Mkutano wa 19 wa Kila Mwaka wa Korosho na Maonesho ya ACA, uliokuwa umepangwa kufanyika kuanzia tarehe 18 hadi 22 Novemba 2025...
  4. DuaZaMama

    GE2025 Bashungwa: Hali ya Usalama Nchini ni Shwari, Wananchi muwe Huru kushiriki shughuli za Kisiasa

    Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, Innocent Bashungwa, leo amefungua rasmi Kituo cha Polisi Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma na kutoa ujumbe muhimu kuhusu hali ya usalama wa nchi na maandalizi kuelekea Uchaguzi Mkuu.
  5. mwanamwana

    PreGE2025 Kamati Kuu ya CHADEMA yakutana kufanya mkutano kwa siku 2. Itajadili hali ya usalama nchini

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inakutana leo Dar es salaam katika kikao chake cha kawaida cha siku mbili. Pamoja na masuala mengine kikao hicho kitajadili na kupokea; 1. Taarifa ya hali ya usalama nchini. 2. Kufanya usaili na kuteua wagombea wa nafasi mbalimbali za...
Back
Top Bottom