hali ya kiroho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    Pamoja na watu kusoma vyuo vya biblia, bado hali ya kiroho ni mbaya kwenye makanisa ya kiroho!

    Swali kwenu watumishi wa mungu maaskofu mitume manabii wainjilist walimu wachungaji nk! Utafiti unaonyesha pamoja na watumishi mungu wengi wa maaskofu mitume manabii wainjilist walimu wachungaji nk kusoma vyuo vya biblia bado hali ya kiroho ni mbaya kwenye makanisa ya kiroho! Sasa je tatizo...
  2. The redemeer

    Vyakula vinavyokuza mwili, akili, na kiroho vina uwezo wa kuboresha hali ya afya kwa ujumla, kuongeza nguvu za ubongo, na kukuza hali ya kiroho. Hapa

    1. Vyakula vya Kuimarisha Mwili Matunda na mboga mboga: Spinachi, broccoli, karoti, parachichi, na berries (blueberries, strawberries). Protini za afya: Maharagwe, choroko, samaki wenye mafuta kama salmoni, na karanga. Vyakula vya nafaka nzima: Uji wa shayiri, quinoa, na mchele wa kahawia...
  3. Magical power

    Wanasayansi wameshindwa kuzichakata DNA katika hali ya kiroho

    DNA, VINASABA Kila mwanadamu amebeba taarifa za ukoo wake taarifa za vizazi na vizazi vya mababu zake, hizi DNA wanasayansi wamejitahidi kuzisoma na kuzichambua lakini wameshindwa kuzichakata katika hali ya kiroho zaidi. Kama katika familia yako au mzazi wako ni mganga ama mchawi basi tambua...
Back
Top Bottom