Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League) kati ya Manchester City na FC Porto umeisha kwa sintofahamu, baada ya mshambuliaji hatari wa Man City, Erling Haaland, kujikuta katikati ya vurugu kali na kiungo wa Porto, Pablo Rosario. Mtanange huo uliopigwa Jumanne, Septemba 8, 2026...