Nimesoma HUKUMU ya Kesi ya THADEY KWEKA ambayo imetolewa jana kinyemela hata bila yeye mwenyewe kujitetea au kutetewa na Mawakili wake tangu kukamatwa kwake, Ninasikitika Kuona kwamba hata Mahakama kupitia Hakimu imejielekeza Vibaya Kutoa HUKUMU husika
Raia Wanategemea Mahakama itende Haki na...
Ni dhahiri kuwa mahakama ya Tanzania imeteleza vibaya kwenye kesi ya Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu. Hii siyo tena kesi ya kawaida, bali ni landmark case ya kuonesha ni kwa namna gani mhimili wa mahakama umegeuzwa kuwa chombo cha kisiasa na si tena kimbilio la wanyonge. Juzi, wakati kesi ya...
Kwa mara ya kwanza katika historia ya hivi karibuni, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetoa tamko kali na lisilo na kificho dhidi ya vyombo vya dola kufuatia kukamatwa kwa Wakili na Mwanasiasa maarufu Tundu Antipas Lissu. Katika taarifa ya kushtua iliyotolewa leo, TLS imetaja hatua hiyo...
Kigezo cha kuwa mtumishi wa umma ili kumiliki nafasi ya kusimamia uchaguzi kinatoa changamoto kubwa kuhusu haki ya usawa katika ajira na ufikiaji wa fursa.
1. Haki ya Kazi Kikatiba:
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977, kila Mtanzania ana haki ya kupata nafasi ya...
Nimetafakari kinachoendelea nchini Kenya na uwezo wa vijana hao (Gen - Z) kudai haki zao kikatiba.
Hali hii imekua tofauti katika nchini yetu licha ya kukabiliwa na chanagmoto zinazofanana na wenzetu; vijana hawana habari kabisa na masuala ya msingi ya haki za kikatiba; hawahoji, wapo busy na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.