haki ya kujieleza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prof_Adventure_guide

    Maandamano Kikatiba: Haki ya Kujieleza na Kukandamiza Haki za Wananchi ni Ukiukaji wa Sheria

    Katika mfumo wa demokrasia, maandamano ni haki ya kikatiba inayotambulika wazi katika Ibara ya 18 na 29 za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Haki hii inahusisha uhuru wa kujieleza na kushiriki katika masuala ya kijamii na kisiasa. Hakuna mamlaka yoyote inayoruhusiwa kikatiba kuzuia au...
  2. R

    PreGE2025 Freeman Mbowe amtaka Mchungaji Peter Msigwa kumuomba radhi kwenye Magazeti na kulipa fidia ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafua jina

    1 Kwamba anaiba pesa za chama kwa kutumia Mbowe Foundation 2. Amegeuza chama kuwa SACCOS yake 3. Chadema digital inamilikiwa na Mbowe kwa manufaa yake My take: hilo nililitegemea and that is the right way to go! ===== Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman...
  3. Cute Wife

    PreGE2025 Hayati Magufuli kuvunja Katiba haihalalishi uonevu wa 'kupapaswa' unaofanywa na Rais Samia. Hatufanyii hisani ni haki yetu

    Wakuu, Nawashangaa nyuki wa mama na utetezi wenu wa kipuuzi, oooh ameruhusu mikutano ya siasa, oooh amerusu vyombo vya habari kuongea vitakavyo, oooh wananchi wanajiachia watakavyo mtandaoni, oooh this ...oooh that, upuuzi mtupu! Magufuli kuminya Katiba haimpi ruhusa Rais Samia kujifanyia...
Back
Top Bottom