Kwa kweli kuna kipindi tulikuwa na maisha mazuri mpaka tukasahau matenki ya maji.
Sasa wale tuliopo na ofisi ambazo vyoo vyetu vya kuflash na plan za ofisi swala la tank la maji hakuna.
Kila mwanadamu lazima kutoa taka mwili. Nipo ofisini mara nasikia hali si nzuri, kwenda chooni hakuna maji...