habil

Sheykh Habil (Persian: شيخ هابيل, also Romanized as Sheykh Hābīl; also known as Qal‘eh Golāb, Sheykh Ābil, Sheykh Hābīl-e Pā’īn, Sheykh Hābīl-e Soflá, and Sheykh Hābīl-e Vostá) is a village in Poshteh-ye Zilayi Rural District, Sarfaryab District, Charam County, Kohgiluyeh and Boyer-Ahmad Province, Iran. At the 2006 census, its population was 219, in 44 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Captain Tesha, Habil na Kabil ilikuwa si project ya Night walk ya Wana usalama Kama Baadhi Ya Member Wanavyopotosha

    Kuna huu uzi nimesoma. https://www.jamiiforums.com/threads/je-captain-tesha-habil-na-kabil-ilikuwa-project-ya-night-walk-ya-wana-usalama.2437201/page-2 Nimeona jinsi baadhi ya wadau wanavyopotosha , wakihalalisha maoni yao kana kwamba ni facts, kitu ambacho si kweli. Naomba nijibu kama...
  2. JamiiForums Tanzania Je, Captain Tesha, Habil na Kabil ilikuwa project ya Night walk ya Wana usalama?

    Hamjambo! Bado nipo njia panda, Namkumbuka Captain Tesha, utulivu wake, Maneno yake, na body language yake, kisha baadaye tukuo la sauti kuvuja za kina Mafwele na kikao chao. Baadaye kabisa baada ya MO29 anazuka Mhusika Mwingine, machachari, unknown Character, anapata umaarufu mkubwa bila sura...
  3. JamiiForums Tanzania Kijana Habil na kabil Ametokomea na utapeli wake

    Huyu kijana mjanjamjanja , aliibuka na kudai ataipararaizi serikali, alikuja na mbinu za kujiliza huko TikTok kwenye Kila live, na madai kedekede ya kujifanya anaushaidi wakutosha wa video na sauti ambao hakuwahi kuuweka hata mmoja hadharani. Mtu huyu aliamua kupita na upepo maana aliaona...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nauliza shujaa wa tiktok Habil Kabil yuko wapi?

    Namuulizia huyu jamaa alikuwa maarufu sana alinifanya niwe napenda kumsikiliza muda wote, anayejua habari zake yuko wapi?
  5. JamiiForums Tanzania Barua za Habil ziko wapi?

    Alisema ameandika kiapo kwenda kwa rais wa ICC chenye kurasa 168. Alisema walituma barua kwenye mashirika ya ndege kuwaambia wasije huku kutakuwa na maandamano yasiyo na kikomo. Mashirika gani, mangapi?... Alisema walituma barua kwa ofisi za mabalozi zote. Alisema watatuma barua Mecca na...
  6. JamiiForums Tanzania Anachongumza HABIL kuelekea Desemba

    • BOT haijatoa taarifa Rasmi kama mifumo yake imeingiliwa (Ikiwa watakataa kubali atatoa fundisho) • Amefanya mazungumzo na kiongozi wa DP world , chairman wao na CEO WAO • Amemuambia chairman wa DP world kuwa miamala yake ipo wazi (Kampigia simu Leo na kuongea nae kwa simu) • mifumo ya kifedha...
  7. JamiiForums Tanzania Huyu mtu wa kufikirika anayeitwa Habil and kabil huenda ni project ya CCM

    Nina wasiwasi huenda kuna watu wamelipwa kueneza taarifa hizi za uongo. Hawatakupa link ya account ya huyo mtu wao habil Wala screenshot au taarifa yoyote aliyozungumza. Na akianzisha mtu mmoja watakuja wengine kusapot na story zilezile na karibu wote comments zinafanana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…