habib mchange

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Habib Mchange atakiwa kumlipa Mwenyekiti wa State Oil (T) Ltd Nilesh Suchak TZS 12B kwa Kumzushia Uongo - Character Defamation

    Mwenyekiti wa State Oil (T) Ltd Nilesh Suchak kupitia kampuni ya Uwakili ya Prime Attorneys amemtumia barua Mkurugenzi Mtendaji wa Jamvi la Habari Habib Mchange akimtaka kuomba radhi na kufuta mara moja kauli za kashfa zilizochapishwa na kurushwa kupitia vyombo mbalimbali vya Habari na Mitandao...
  2. JamiiForums Tanzania Chawa Habib Mchange ameanza kushughulikiwa

    Baada ya Kitoilet paper cha Habib Mchange, naye akiwa ndiye mhariri wa kitoilet hicho kutoa kashfa kumtuhumu Nilesh mmiliki wa state oil kuwa alitoa pesa kuifadhili CHADEMA, nileshi alitoka kukanusha tuhuma hizo na kusema yeye hakuwahi kuifadhili CHADEMA, bali alimpatia Heche fedha kama...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya nchi kutulia itabidi Habib Mchange na kundi lake watueleze hii project ya kuliingiza taifa kwenye chuki za udini amepewa na nani

    Maana hii ni project na inaratibiwa kwa makusudi kabisa sasa inabidi tujue nani muasisi na mdhamini na lengo ninini?
  4. JamiiForums Tanzania Ni nani anayemtumia Habib Mchange kulivuruga Kanisa?

    Habib Mchange katika siku za karibuni ametajwa sana kuratibu na kugharamia mikutano ya waandishi wa habari inayolenga kuwashambulia kwa kashfa viongozi wa Dini ya Kikristo nchini Tanzania. Mchange anadaiwa ndiye aliratibu mikutano ya wale viongozi wa kiislamu waliotangaza kuwakata watu vichwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Habib Mchange kweli ni muislamu?

    Nimeangalia mahojiano yake na namshangaa pale alipokazania Lissu na Heche wanahusika ktk vurugu za October 29. Licha ya Odemba kupinga hoja hio kwa kuonesha jinsi ya vyombo vya dolla vinafanya kazi. Yeye alikazania. Kilichonifanya nishangae kwamba kusema yeye ni muislamu mbele ya TV hio. Hii...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kigamboni: Mwana CCM Habib Mchange akamatwa na TAKUKURU kwa Rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemkamata mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Habibu Mchange kwa tuhuma za rushwa inayohusishwa na uteuzi wa ndani ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Mkuu wa TAKUKURU kanda ya Temeke, Joseph Makungu amesema...
  7. JamiiForums Tanzania Kongamano la Wahariri limeacha maswali mengi. Nani yuko nyuma?

    Kongamano la Wahariri naweza kusema limeacha maswali mengi sana kuliko mafanikio tuliyotarajia tuyaone kutokea hapo. 1. Nani aliyewalipa posho na malazi kwa siku zote walizokaa Iringa(Yeye mlipaji ananufaikaje kwa fedha zake alizotoa) 2. Wametajwa wabunge, majaji, mawaziri kuwa ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…