gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Mbunge smart kuwahi kutokea katika Bunge la Tanzania

    Salamu za Askofu Gwajima wa Jimbo la Kawe kwa Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli alipoteuliwa na Mh.Spika kusalimia kwa niaba ya Wabunge wenzake, leo Bungeni Dodoma. Mheshimiwa Spika, ninaomba nikushukuru sana kwa kunipa fursa hii ya kusema maneno machache kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tumpuuze Askofu Gwajima kuhusu Chanjo ya Corona

    Nimeamua kuandika ili wananchi tujue ya kuwa hata baadhi ya watunga sheria na pia ni viongozi wa dini hawajui kinachoendelea duniani. Huyu Mbunge (Askofu )wa jimbo la Kawe ETI anaona chanjo vaccine ya corona ni upuuzi.Labda hana kitu kinachoitwa BRAIN ana maji kichwani. Dunia nzima inagombania...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Marufuku kuwauzia kadi za kliniki kina mama wajawazito

    Waziri wa Afya Dkt Gwajima amepiga marufuku kina Mama Wajawazito, hakuna utaratibu huo. Awali kadi zilikua zikiuzwa sh 5000/= mpka 20,000/= na baadhi ya vituo vya kliniki ilifika sh 50,000/=.
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima ataka Masheikh wa Uamsho waachiwe na Sheria za uhujumu uchumi zirekebishwe

    Mimi siongezi neno hapa Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amelishauri Bunge kuwa Sheria kandamizi zilizotungwa mwaka 2019 ikiwemo Sheria ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha zifanyiwe Marekebisho kwani kuna Maelfu ya watu Wamebambikiwa kesi hizo mpaka sasa Wanasota Mahabusu bila kujua hatma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…