Kumeanza kuchangamka leo ni gwajiboy kesho slow slow anamambo mazito ya kuteta.
Sauti hizi za ndani kwa ndani ya CCM zina mchango mkubwa kwenye kushinikiza mabadiliko nchini.
Ikumbukwe CCM ni chama cha kidemokrasia lazima kifanye siasa za kidemokrasia na niwatanzania ikitokea kikashindwa...
Askofu Gwajima amesema Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuwa entertained
Gwajima anasema huwa haongei kwa kubahatisha, mpaka anakuja kuongea mbele za watu ni kwasababu ana data, na data hizo amekuzikusanya kutoka matukio yaliokuwa yanafanyika miaka kadahaa na kupata orodha ya watu...
HUU UZI SIO WAKUUNGANISHWA, UNAJITEGEMEA.
1. muwe makini sana na matamshi yeyote mnayofanya popote, na hii ni kwa watanzania wote wanaowasemea wengine, watu wabaya wakikosa cha kukushitaki, huwa wanajua with time utajikwaa tu kama sio kwenye sheria za cyber, basi kwenye matamshi yako kwa sababu...
Wanabodi,
Declaration of interest.
Kwa vile mimi ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM na niliomba fomu kupitia CCM kuomba kupitishwa kugombea ubunge wa jimbo la Kawe, kwa tiketi ya CCM, ila watu wanaitwa Wajumbe wakafanya yao. Tulikuwa wagombea 176, tunatafuta nafasi moja!, hivyo ilikuwa ni...
Enzi za utawala wa kisahunga haya makundi mawili yalikuwa active kama nyuki. Ukigusa mmoja wao basi ujiandae kupata mashambulizi kutoka kila kona.
Pengine kwa sababu tulikuwa uchumi wa kati na huenda walikuwa wanalipwa vizuri. Si unajua CCM maslahi?
Sasa awamu hii joka walilolifuga...
Mapema Leo wakati Rais Samia yupo Tegeta jimbo la Kawe kwa Mchungaji Gwajima akiongea na wananchi na wakazi wa Kawe waliojitokeza kumsikiliza ameongea mengi lakini kati ya hayo ni pale aliposema "Gwajiboy oyeee, tunachanja, hatuchanji? Haya mheshimiwa gwajima endelea"
Kwa kauli hii Spika na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.