Kutoka kwenye official page ya Rockstar Games, sasa ni official kuwa Grand Theft Auto VI litazinduliwa rasmi mwakani 26 may tofauti na matarajio ya watu wengi kwamba lingezinduliwa mapema ndani ya mwaka huu.
Daah hii taarifa imeniuma sana sababu hili game nlikuwa nalisubiria kwa hamu na shahuku...