google pixel

Google Pixel is a brand of consumer electronic devices developed by Google that run either Chrome OS or the Android operating system. The Pixel brand was introduced in February 2013 with the first-generation Chromebook Pixel. The Pixel line includes laptops, tablets, and smartphones, as well as several accessories.

View More On Wikipedia.org
  1. Nimeibiwa Xiaomi 12T Pro nikanunua Google Pixel 7A

    Nilikuwa natumia Xiaomi 12T Pro Kwa muda sasa ila majuzi usiku hapa Mbeya wahuni walinikaba na kunipora kila nilichonacho including my phone. Uzuri sikuwa na hela nyingi mfukoni kwa hiyo kitu cha maana walichooba kinachoniuma zaidi ni hiyo Xiaomi 12T Pro Lakini nimeitumia for 3 years straight...
  2. Used Google Pixel 9 (128GB)

    used Google Pixel 9 (128GB) njoo na offer yako PM
  3. Google Pixel Phones Community

    The (unofficial) hub for #teampixel and #madebygoogle fans on Jamiiforums. Find support, discover the latest updates, and connect with others in the dedicated sub-jamiiforums community for google pixel phones.
  4. Kosa Hili Liliwagarimu Samsung, Google Pixel Wakawapiga Bao

    Samsung baada ya kushika soko kwa muda mrefu wakajisahau na kuona wanaweza kufanya wanachojisikia sokoni , google pixel wakaja wakawapiga bao na sasa vijana wengi hupendelea zaidi kuliko Samsung. Ona mbaka nasahau kusalimia , Habari gani mwanakidigitali ? Naitwa Baraka Mkisi mnazi wa...
  5. Google pixel battery replacement

    Ushindwe wewe karibu ubadilishe betri original za pixel kwa bei nafuu Betri ni original Pixel 3 zote bei 25k Pixel 4 zote bei 40k Pixel 5 bei 40k pixel 6 zote bei 45k Pixel 7 bei 55k Pixel 8 bei 55k Epateletech tupo kukupa kilicho bora Unaweza kuulizq chochote kuhusu simu nitakujibu 0757937196...
  6. Nauza Google Pixel 6. Kuna Free Delivery

    Storage 128GB Used Dubai Clean Condition Tsh. 460,000/= Free delivery dar es salaam, mikoani na wilaya zote za Tanzania tunatuma mizigo bila changamoto Whatsapp_0623771079 Normal call_0778863227
  7. Bajeti ya 500,000 - 600,000 Google Google pixel ipi itanifaa

    Wakuu, niko na bajeti hii ya 500,000 hadi 600,000 nahitaji nipate Simu(Google pixel) ya ipi itanifaa..? Kama una ushauri kwa brand nyingine tofauti na hiyo yenye ubora unaweza kunisanua/kunipa ushauri la isiwe Tecno au infinix
  8. P

    Phone4Sale Google pixel 3 nyoofu naitoa kwa 180,000/=

    GOOGLE PIXEL 3 ⭕️Ram 4GB ⭕️storage 64Gb ⭕️Clean 💰bei 180,000= Ubungo Darajani 0️⃣7️⃣6️⃣9️⃣5️⃣0️⃣3️⃣6️⃣8️⃣
  9. Simu za Google pixel 4a zimepata ugonjwa wa kufa battery 🔋

    Google pixel 4a kila mwenye nayo kipindi hiki zinaua betri. Huu ugonjwa ni kama umezilipukia simu za Google pixel 4a Kuuza ni ngumu Na wauzaji wa simu ukiwapelekea kufanya top up wanagoma, wanasema google pixel 4a ikishakufa betri habari imekwisha Ukibadilisha ugonjwa wa kuuwa betri ukitumia...
  10. S

    Phone4Sale Tunauza simu

    LG style 3 Ram 4gb Storage 64gb Clean Bei 250,000/= Ubungo darajani 0️⃣6️⃣9️⃣3️⃣1️⃣7️⃣6️⃣1️⃣9️⃣7️⃣
  11. G

    Epuka kuuziwa mbuzi kwenye gunia, Google pixel hairuhusu nchi za Africa kutumia 5g, Tafuta simu nyingine ukitaka ku-enjoy internet

    Yani umejipinda kununua simu kali halafu uanze tena kutumia 4g wakati eneo lina 5g ya kutosha, Ahh wapi aisee !! miyeyusho hio !! Ni tahadhari ya mapema kabisa naitoa, kama unataka kununua google pixel jifikirie mara 2, ukiachana na uadimu na bei pasua kichwa kwenye vioo kusababisha wengi...
  12. *HII ISSUE YA GOOGLE PIXEL NA IPHONE IMEKAAJE?*

    Wadau, hivi hii IMEKAAJE ...Nina google pixel, nikiweka status video mtu mwenye iphone kwake haifunguki,na hata ukimtumia video haifunguki kwake. Tupeane ujuzi
  13. Android 15 ndani ya Google Pixel

    Just in Android 15 ndani ya Google Pixel. Kwa harakaharaka Google wameamua kuwa serious kwenye swala la security kwani wameleta private space inayokuwezesha kuweka data zako na ku run application nje ya launcher ya kawaida. Lakini pia hatimae Google wameleta Theft protection, je uu utakua...
  14. A

    Msaada: Nataka ninunue simu ya Google pixel 6pro

    Habar za sasa hivi natamani niataka ninunue simu kwa bajeti ya 600k - 650k ninunue simu gani Naomba ushauri wenu na sehemu nzuri wanapouza kwa Dsm
  15. P

    Phone4Sale Nauza Simu aina zote

    Je, unataka simu bei chee? Je, una abudget ndogo na unataka simu? Je, unataka kufanya Top up au exchange? Nambie una budget ngapi tukupe simu kali ya budget yako. Exchange na Top up tunafanya! Simu tulizonazo dukani ni; 📱Google pixel 📱aquous arrow 📱samsung 📱Iphone 📱LG 📱Sonny Xperia...
  16. R

    Phone4Sale Simu aina ya Google Pixel zinauzwa

    SIMU NI MPYAAAAAAAAA Google Pixel 9 PRO XL RAM 16GB ROM 256GB Camera 50MP BATTERY 5060mh TSH.3,650,000/= Call/WhatsApp 0749417334 UBUNGO DARAJANI SIMU NI MPYAaa
  17. Naomba kufahamu simu aina ya Google Pixel nzuri yenye bei nafuu sana

    U hali gani mwana JF? Nahitaji kufahamu simu aina ya Google Pixel nzuri, haijalishi ni mpya ama ya zamani, kikubwa iwe inapatikana kirahisi, simu yenye bei rafiki isiyozidi 300k, hata kama ni ya mkopo, yenye camera kali zinazoeleweka na kufanania range, mfano 50MP, 48MP, 40MP na 42MP Real...
  18. Phone4Sale Google pixel 5 350tsh

    Google pixel 5 128gb,ram 8gb Tsh 350000 Location Shinyanga
  19. Y

    Phone4Sale Google pixel 4a on sale

    Habari wadau. Ninauza Google pixel 4a. Good condition ✅ 🛜 5g 🗄️Gb 128. 🔋Inakaa sana na charge 📷 Kamera kali 🔥 Location: Dar es salaam. Mbezi juu (kwa sanya) , Goba Road Price; 280,000/=
  20. Msaada wadau simu yangu inasumbua google pixel

    Jamani naombeni mwenye ujuzi na hizi simu za google pixel anisaidie, in short nina google pixel 5g a hii ilikua poa tu lakini ikaanza kuna wakati naichaji inaniandikia hili neno liquid debris then inaacha kuchaji nilichokua nakifanya nikuchomoa chaja na kuirudishia tena inaendelea kufanya kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…