Google Pixel is a brand of consumer electronic devices developed by Google that run either Chrome OS or the Android operating system. The Pixel brand was introduced in February 2013 with the first-generation Chromebook Pixel. The Pixel line includes laptops, tablets, and smartphones, as well as several accessories.
Nilikuwa natumia Xiaomi 12T Pro Kwa muda sasa ila majuzi usiku hapa Mbeya wahuni walinikaba na kunipora kila nilichonacho including my phone. Uzuri sikuwa na hela nyingi mfukoni kwa hiyo kitu cha maana walichooba kinachoniuma zaidi ni hiyo Xiaomi 12T Pro
Lakini nimeitumia for 3 years straight...
The (unofficial) hub for #teampixel and #madebygoogle fans on Jamiiforums. Find support, discover the latest updates, and connect with others in the dedicated sub-jamiiforums community for google pixel phones.
Samsung baada ya kushika soko kwa muda mrefu wakajisahau na kuona wanaweza kufanya wanachojisikia sokoni , google pixel wakaja wakawapiga bao na sasa vijana wengi hupendelea zaidi kuliko Samsung.
Ona mbaka nasahau kusalimia , Habari gani mwanakidigitali ?
Naitwa Baraka Mkisi mnazi wa...
Ushindwe wewe karibu ubadilishe betri original za pixel kwa bei nafuu
Betri ni original
Pixel 3 zote bei 25k
Pixel 4 zote bei 40k
Pixel 5 bei 40k
pixel 6 zote bei 45k
Pixel 7 bei 55k
Pixel 8 bei 55k
Epateletech tupo kukupa kilicho bora
Unaweza kuulizq chochote kuhusu simu nitakujibu
0757937196...
Storage 128GB
Used Dubai
Clean Condition
Tsh. 460,000/=
Free delivery dar es salaam, mikoani na wilaya zote za Tanzania tunatuma mizigo bila changamoto
Whatsapp_0623771079
Normal call_0778863227
Wakuu, niko na bajeti hii ya 500,000 hadi 600,000 nahitaji nipate Simu(Google pixel) ya ipi itanifaa..?
Kama una ushauri kwa brand nyingine tofauti na hiyo yenye ubora unaweza kunisanua/kunipa ushauri la isiwe Tecno au infinix
Google pixel 4a kila mwenye nayo kipindi hiki zinaua betri. Huu ugonjwa ni kama umezilipukia simu za Google pixel 4a
Kuuza ni ngumu
Na wauzaji wa simu ukiwapelekea kufanya top up wanagoma, wanasema google pixel 4a ikishakufa betri habari imekwisha
Ukibadilisha ugonjwa wa kuuwa betri ukitumia...
Yani umejipinda kununua simu kali halafu uanze tena kutumia 4g wakati eneo lina 5g ya kutosha, Ahh wapi aisee !! miyeyusho hio !!
Ni tahadhari ya mapema kabisa naitoa, kama unataka kununua google pixel jifikirie mara 2, ukiachana na uadimu na bei pasua kichwa kwenye vioo kusababisha wengi...
Wadau, hivi hii IMEKAAJE ...Nina google pixel, nikiweka status video mtu mwenye iphone kwake haifunguki,na hata ukimtumia video haifunguki kwake. Tupeane ujuzi
Just in
Android 15 ndani ya Google Pixel.
Kwa harakaharaka Google wameamua kuwa serious kwenye swala la security kwani wameleta private space inayokuwezesha kuweka data zako na ku run application nje ya launcher ya kawaida.
Lakini pia hatimae Google wameleta Theft protection, je uu utakua...
Je, unataka simu bei chee?
Je, una abudget ndogo na unataka simu?
Je, unataka kufanya Top up au exchange?
Nambie una budget ngapi tukupe simu kali ya budget yako.
Exchange na Top up tunafanya!
Simu tulizonazo dukani ni;
📱Google pixel
📱aquous arrow
📱samsung
📱Iphone
📱LG
📱Sonny Xperia...
SIMU NI MPYAAAAAAAAA
Google Pixel 9 PRO XL
RAM 16GB
ROM 256GB
Camera 50MP
BATTERY 5060mh
TSH.3,650,000/=
Call/WhatsApp 0749417334
UBUNGO DARAJANI
SIMU NI MPYAaa
U hali gani mwana JF?
Nahitaji kufahamu simu aina ya Google Pixel nzuri, haijalishi ni mpya ama ya zamani, kikubwa iwe inapatikana kirahisi, simu yenye bei rafiki isiyozidi 300k, hata kama ni ya mkopo, yenye camera kali zinazoeleweka na kufanania range, mfano 50MP, 48MP, 40MP na 42MP Real...
Habari wadau. Ninauza Google pixel 4a.
Good condition ✅
🛜 5g
🗄️Gb 128.
🔋Inakaa sana na charge
📷 Kamera kali 🔥
Location: Dar es salaam. Mbezi juu (kwa sanya) , Goba Road
Price; 280,000/=
Jamani naombeni mwenye ujuzi na hizi simu za google pixel anisaidie, in short nina google pixel 5g a hii ilikua poa tu lakini ikaanza kuna wakati naichaji inaniandikia hili neno liquid debris then inaacha kuchaji nilichokua nakifanya nikuchomoa chaja na kuirudishia tena inaendelea kufanya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.