Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Gombo, amewatahadharisha wale wanaohamasisha maandamano siku ya kupiga kura, Oktoba 29, 2025, akisema nia yao ni kuichafua Tanzania huku wao wakiwa salama nchi za nje
Gombo ametoa kauli hiyo leo, Jumamosi...
Mgombea Urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo, amewaasa wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la kupiga kura, akisisitiza kuwa ndio njia pekee itakayowezesha kumchagua kiongozi wanayemtaka.
Pia mgombea urais huyo ameitaka Tume huru ya uchaguzi kutenda haki na usawa...
Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Gombo Samandito Gombo amesema kwamba atakapopata ridhaa ya kuongoza nchi atahakikisha wanasiasa wote waliopewa kesi za uhaini wanaachiliwa huru.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.