Mwenyekiti wa Taasisi ya Taifa ya Taaluma ya Madereva Tanzania (TATAMATA), Godlove Materu ameachiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kukamatwa tangu Februari 5, 2026.
Taarifa iliyotolewa na Wakili wake, Aloyce Komba kutoka Haki Kwanza Advocates leo Februari 12 imesema Materu ameachiwa huru baada...
Muda mfupi baada ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe kukiri kumshikilia, Godlove Materu, wakili wake, Aloyce Komba amelihoji Jeshi la Polisi maswali matano, akisema taarifa hiyo:
Soma pia: Madereva wa malori waipa Serikali siku 2 mwenzao apatikane
1. Wanamshikilia katika kituo gani cha polisi...
Wakuu,
Chama cha Madereva wa Malori kilitoa tamko ikiwa mwenzao hajapatikana ndani ya siku 2 kuanzia Jumapili wangefanya mgomo, hii ni baada ya mwenzao kudaiwa kuchukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa polisi, ambapo jitihada za kumtafuta katika vituo mbalimbali hazikuzaa matunda.
Baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.