g/mboto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Malaki

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya kiwanda cha Namera Gongo la mboto ni mbovu sana

    Barabara ya kiwanda cha namera kuelekea Ulongoni B kipande kidogo sana lakini wahusika hawakitilii mkazo wana weka vifusi vinakaa mpaka watu wakujitolea wasambaze. Mvua zimenyesha sasa imekua kero kubwa sana.
  2. sued's

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Changamoto wanayopata wanafunzi kutoka kwa Makondakta hasa magari ya Buza , na G/Mboto

    Kuna changamoto jana nilikutana nayo wakuu ya wanafunzi wasichana kama watano walinifata kituoni kuomba simu kuwapigia wazazi wao wawatumie nauli hata elfu mbili watoe wapande bajaji waende nyumbani ilikuwa mida ya saa mbili kasoro hivi maeneo ya relini na walikuwa wanaelekea Gongo la Mboto. Na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Fremu inapangishwa Gongo la Mboto, haina udalali

    Habarini Wana JF nmeamua kuwaletea Fursa ya fremu ya Barabarani ambayo Haina udalali Wala nini unawapigia Moja kwa Moja wahusika. Fremu iyo Kodi kwa mwezi ni laki 5 -Ipo G/mboto kabisa Karibu na barabara ya kuelekea mjini pia Ina mazingira mazuri -Ipo juu ghorofa ya kwanza ni kubwa na nzuri...
Back
Top Bottom