gharama kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Iko nchi Ulaya GB1 unanunua kwa Dola 15

    "Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15" ------- Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini kusafirsha mwili au maiti toka nchi za nje Ni gharama kubwa sana

    Wadau ebu leo tujadili ili kwanini kusafirisha maiti ni gharama kubwa mno kuliko kusafiri mtu ukiwa mzima na ikiwa maiti inakuja tu kama cargo na mtu unakaa ata vip lakini uwezi kuwa na gharama za maiti yaani nabaki najiuliza sipati jibu.
  3. JamiiForums Tanzania Kama ni adhabu ya kutoa mzigo pale airport ni hii, poleni wafanyabiashara

    Habari, Ninaandika huu uzi nikiwa na masikitiko makubwa mno yanayozidi kiasi; natamani kuukana uzalendo kabisa Nilienda kupokea mzigo wangu pale airport kg 63 personal effect ambao ulichukua siku nne mpaka kuutoa pale ndani Kwa ufupi airport cargo kuna mapungufu makubwa mno na gharama ambazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…