georges bussungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    GE2025 Bussungu: Nitanunua ndege za doria kila mkoa kuimarisha usalama wa Taifa

    Mgombea urais wa Chama cha ADA-TADEA, Georges Bussungu, ameahidi kuiimarisha Idara ya Usalama wa Taifa na Jeshi la Polisi kwa kununua ndege maalumu za doria katika kila mkoa endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu. Akizungumza leo na wananchi wa...
  2. DuaZaMama

    GE2025 Bussungu: Nikiwa rais wafungwa watalipwa Posho na kufundishwa stadi za maisha

    Mgombea urais wa Chama cha ADA-TADEA, Georges Bussungu, ameahidi kufanya mageuzi makubwa katika Idara ya Magereza endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania, kwa kuhakikisha wafungwa wanapatiwa mafunzo ya stadi za maisha na kulipwa posho kwa kila kazi watakayofanya, ili ziwe mtaji wa kuanzisha...
  3. R

    GE2025 Mgombea Urais ADA- TADEA: Tunataka Jeshi imara na silaha imara, kila Mkoa Polisi wapewe Helikopta

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha African Democratic Alliance (ADA - TADEA), Georges Bussungu amenadi sera za chama hicho kwa wakazi mkoa wa Tabora, akiahidi kuimarisha ulinzi na usalama wa nchi na kudhibiti matukio ya uhalifu ikiwemo utekaji kwa kununua...
  4. McLaren

    GE2025 Mgombea Urais ADA TADEA Georges Busungu: Kama Watanzania wanataka kuandamana waandamane kifikra sio barabarani

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha ADA -TADEA, Georges Bussungu amesema ikiwa Watanzania wanataka kuandamana waandamane kifikra wakapige kura ili wapate mabadiliko wanayoyataka. Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea...
Back
Top Bottom