Unafiki wa hali ya juu utauona kwa Wanandoa wanaoishi mbalimbali miaka yote kwa kisingizio chochote , hasa Kazi.
Na hawafanyi jitihada zozote za makusudi kuonyesha hawakubaliani na huo mtawanyiko.,,,,Yani kwa kifupi Wana Amani.
Ukiangalia kwa mbali ni kama Kuna Ndoa ,,
Ukisogea karibu utagundua...