Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 14, 2025 amehoji mikakati na mbinu za wanaharakati za Oktoba 29 kama ilileta mwarubaini wa chanagamoto zinazowakabili wananchi na taifa kwa ujumla kama...
Nchi hii ukidai haki unaitwa Muhuni kisha kuna kikundi kitakwambia wanakushughulikia alafu Mkuu wao anamaliza kwa kusema anaongoza kwa kutumia 4R, hakutakuwa na nywinywi wala nywi nywinywi :FeelsWeirdMan:
---------------
Rais wa Jumuiya ya wanafunzi wa elimu ya Juu Tanzania TAHLISO ambaye pia...
Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu nchini Tanzania wametangaza kuwa mabalozi wa amani na usalama wa Tanzania wakati huu ambapo Taifa linajiandaa kushiriki kwenye Uchaguzi Mkuu wa Tanzania ili kila Mtanzania apate haki ya kumchagua Kiongozi wamtakaye bila ya hofu ama wasiwasi kuhusu usalama na...
Geofrey Kiliba, Rais wa Jumuiya ya Taasisi za Wanafunzi wa Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), amesisitiza kuwa wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu kote nchini watashiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Wakuu,
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewataka vijana nchini kutambua nafasi yao katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, akisema matokeo ya uchaguzi huo yatakuwa na mchango mkubwa katika mustakabali wao.
Akizungumza katika kipindi cha...
Mwenyekiti wa CHASO (CHADEMA Student Organization) mkoa wa Dar es Salaam Martin Samson Abduli ametoa tamko kwa waandishi wa habari akilalamikia mwenendo wa Rais wa TAHILISO Geofrey Kiliba akidai kuwa unakiuka misingi ya Katiba ya umoja huo wa wanafunzi wa vyuo na vyio vikuu nchini
Akizungumza...
Akizungumza na kituo cha Clouds Redio, leo Agosti 21, 2025 Rais wa Shirikisho la Vyuo Vikuu Tanzania TAHLISO Geofrey Kiliba amesema anayofanya Askofu Josephat Gwajima ikiwa ni pamoja na kuzua taharuki vinamuondolea sifa ya kuwa kiongozi wa Dini, na alipoulizwa kuhusu kama ana kubaliana na...
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa elimu ya Juu nchini TAHLISO na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama asemewe Geofrey Kiliba amehoji uhalali wa baadhi ya wananchi wanaomtusi na kutoa lugha za fedheha kwa Viongozi wa serikali akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan, akisisitiza umuhimu wa kuwaheshimu na...
Baada ya mahakama kuamua tusiendelee kuuona "ingia kati tuyaone malingo yako, bingiribingiri mpaka mpaka chini" anazochezeshwa Lissu, sinema nyingine ya Gwajima vs Muumini wa Gwajima itaanza rasmi baada ya siku kumi.
Kiliba kesharudisha mpira kwa Bishop, tuendelee kusubiri kama Bishop...
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi na Taasisi za Elimu, Ndugu Geofrey Kiliba, ametangaza kuwa atazungumza na vyombo vya habari siku ya kesho, tarehe 18 Agosti 2025
Katika taarifa yake kwa umma aliyoitoa kupitia mitandao Yake ya Kijamii leo, tarehe 17 Agosti 2025, Ndugu Kiliba ameandika:
“Panapo...
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini Tanzania TAHLISO Bw. Geofrey Kiliba amesisitiza umuhimu wa Wasomi na Vijana waliopo vyuoni kukemea, kukosoa na kushauri kwa kutumia maarifa na taaluma zao katika kuijenga Tanzania na kuepusha waharibifu wanaotishia kuharibu misingi ya amani...
Mimi, Dickison Damasi, mwanachuo katika moja ya Vyuo vilivyopo Dar es Salaam na mwanachama hai wa TAHLISO, napenda kuwasilisha malalamiko rasmi dhidi ya Rais wa sasa wa TAHLISO, ndugu Geofrey Kiliba, kutokana na madai ya kuhusika moja kwa moja na shughuli za chama fulani cha siasa kinyume na...
Rais wa jumuiya ya wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania Bwana Geofrey Kiliba asema kwamba Mwaka 2025 ni mwaka wa Uchaguzi na hakuna anayeweza kurudisha nyuma Watanzania katika kushiriki mchakato huo muhimu ndani ya Taifa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu nchini Geofrey Kiliba awaambia Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu kuwachagua viongozi wanaotumia lugha nzuri ili kufikisha ujumbe au sera zao kwa wananchi si viongozi wanaotumia lugha za matusi.
Kiliba aliyasema hayo katika Kongamano la Mama...
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu nchini Geofrey Kiliba awaambia Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu wakemee wanaotaka kuvuruga Amani ya Nchi.
Kiliba ameyasema hayo katika Kongamano la Mama asemewe lililofanyika mkoani Iringa.
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya juu nchini Ndg Geofrey Kiliba amewajibu wale waliokosoa ziara yao kama taasisi kutembelea wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu mikoani, wamesema wanachokifanya ndio msingi wa utatuzi wa changamoto za Wanavyuo nchini.
Ndg Kiliba amesema katika kazi...
Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe, Geofrey Kiliba wikiendi hii alizindua kampeni mpya aliyoiita "Wiki Ya Mama" kwa ajili ya kutathmini na kuthamini juhudi za Rais Samia
Mwenyekiti huyo ameainisha kuwa Machi 19, 2025, lengo la kampeni hiyo ya "Wiki Ya Mama" ni kuthamini miaka minne tangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.